Majungu na kukwamishana Buboka Mjini vyamliza Mbunge Byabato. Apiga magoti na kutoa machozi mbele ya wanabukoba

Ubabe wa Magufuli ulisaidia maendeleo wakati fulani.
 
Ubabe wa Magufuli ulisaidia maendeleo wakati fulani.
Ubabe huo huo unapaswa kutumika huko bukoba...ili maendeleo yapatikane hapo Bukoba...barabara kuu ya kuingia bukoba imechoka kweli na ina kona kali...

I hope wamevunja wenyew...hao watakao fungua kesi wauliwe kimya kimya...tumechoka na drama za bukoba
 
Ha ha haaa.
Tusifikie huko.
Kwa hali na migogoro ya Bukoba inabidi tufikie huko...

Mambo ya kutafuta haki yameikwamisha manispaa ya bukoba mpaka imegeuzwa laughing stock ....na wanaochekwa sio wakazi wa bukoba bali ni wahaya tu...si unajua akili ndogo za watanzania...angalia hata huu uzi...

Bukoba kukijengwa barabara nzr, stendi na soko basi utapendeza sana..
 
Dc alikua hapo Mzuri huyo huyo Byabato akamfigisu Leo Analia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Naona anajinasua amtafute DC wa nyuma amwombe radhi
 
Nitaamini hayo kama Istanbul atathibitisha kwamba Bukoba hakuna Kitu.

Hata hivyo Mulugo wa Songwe aligalagala chini kuwapa sapoti kina mama
 
[emoji23][emoji23] Usijali hili litafanikiwa japo kwa kipindi tulichopo naona siasa zimeanza kwa hiyo fitina zinaweza kuwepo
 
Move ya kumuweka biteko ndo nikajua maza anatoboa hadi 2030

Ndo lengo la kuwekwa hapo hilo
Wala hakuna shida hata bila Biteko atatoboa ,huyo atakuja kuongezea tuu kura maana walau ndio Waziri wa kutoka huko mwenye nafuu wengine mliwachagua vichwa maji hawaelewi wapiga majungu tuu.

Sasa kama Hadi huyu dogo mnampiga majungu unategemea nini?
 
Wengine wanapiga pushapu wengine wanakula mahindi hadharani yaani ni blaaa blaaa tupu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wahaya kwa roho mbaya unafiki majungu ni nuksiiii sana!
Hakuna watu wagumu Kuishi nao kama wahaya!
Kuna mmja Yuko Ofisini ni mdada aisee keshawahamisha Jamaa wa 3 Kwa fitina,Kila mtu hamtaki lakini ukigombana nae unaondoka wewe.
Namba nyingine ni watu wa Mbeya (Wanyakyusa) na wafipa (Rukwa) wakali wa Majungu.
 
Mbunge wenu Hadi analia hivi nyie ni watu wa namna gani? Tabia zenu kama za Warundi Kila mtu anajua πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila uko sahihi jamii ya watu kama wenu inatakiwa kutumia Nguvu.Mikoa ya Kagera,Mbeya,Arusha na Mara bila mkono wa chuma haiendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…