Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Mama samia na mabalozi ni serikali ya ccm chini ya magufuli! je hawawezi kuwa na vibastola wakammalizia Lissu?

kuna wakati chuki ikizidi inapofua ufahamu wetu!

Bado ninaamini mhusika wa tukio yuko huru wala hajawaziwa, huyu muuaji anafurahia sana mawazo yenu maana mnawaza upande mmoja

mimi siko kama hao!

Taratibu, issue inaanza kuwa dissolved mtu pekee ambaye angemsaidia Lissu ni Magufuli tu! Lissu atabaki peke yake, kuwa serikali ilihusika haitakuwa na nguvu tena, 'mhusika halisi yuko huru'

Magufuli is innocent, I repeat Magufuli is innocent

pia ni muda wa kuweka evidences kwa tuhuma zozote zile
Teh teh teh teh teh...bado una la nyongeza?

Ni nani aliyetoa CCTV camera kule area D mjini Dodoma?

Na kwa nini alizitoa?
 
TL amemshukuru sana rais lakini nyie makarai mnapiga kelele na kupayuka hovyo huku mmejificha nyuma ya keyboard. Kazi mnayo.
Akihojiwa na gazeti la Financial Times Lissu amemtaja Rais Magufuli ndiye mhusika mkuu wa kushambuliwa kwake mwisho wa kunukuu.
 
ibada njema kutembelea wagonjwa...lakini vipi kama kusingekuwa na sherehe za kuapishwa Uhuru?
Hata mm nimejiuliza hlo suala...isije kuwa katumwa kummalizia....

Naogopa sana maana hawaaminiki....

Au ndo kajitoa Mhanga tu bila bosi wake Kujua km atapitia huko....

Mmmmhhh....ila itakuwa ilikuwa planned kuwa atapita kumuona...

Labda walishajutia kuwa maamuzi waliyofanya ya kumuua TL hayakuwa sahihi...na sasa wanajirudi...

Mambo mengine bana ...ni magumu kuelewa..
 
Dear Mama Samia Suluhu Mnyazi Mungu akubariki kwa kitendo hicho cha kibinadamu (japo long overdue but better late than never). Sote waja wake Mola uzima na maradhi ni sehemu ya maisha yetu.
 
Back
Top Bottom