Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
bawacha kwani makamo wa rais alikwenda kenya kwa niaba ya nani?wapi ofisin kwa sizonje hapatamaniki huko . ni mwendo wa mateke . viti havitamaniki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bawacha kwani makamo wa rais alikwenda kenya kwa niaba ya nani?wapi ofisin kwa sizonje hapatamaniki huko . ni mwendo wa mateke . viti havitamaniki
Lini WaTz tuliacha unafki?! Pindi Chana ni mnafiki mfia chama.Hivi balozi huyo ndiyo Mara yake ya kwanza kwenda hapo kumtembelea lissu!
Ova
Mama kaona isiwe tabu... isitoshen bwana yule hana mamlaka ya kumtumbua...Sijui aliomba ''go-ahead'' ya kufika hapo maana bwana yule akili zake anazifahamu mwenyewe.
Baada ya hapa tutaona wanafiki kibao wakianza kwenda Nairobi, akiwemo Faru Ndugai na Naibu wake Fausta!
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa.
Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana.
Mwananchi lililokuwapo hospitalini hapo wakati Mama Samia, Balozi Chana na maofisa wengine wakiwasili hospitalini hapo.
Lissu amelazwa hospitalini hapo akiuguza majeraha ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 aliposhambuliwa Septemba 7 akiwa nyumbani kwake, Area D mjini Dodoma.
Makamu wa Rais amefika hospitalini akiwa njiani kurudi Tanzania baada ya asubuhi kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta.
Samia anakuwa kiongozi mkuu wa kwanza wa Serikali ya Tanzania kumtembelea Lissu hospitali tangu alipolazwa usiku wa Septemba 7.
View attachment 639832
View attachment 639833
Na TL kamtuma mama Samia , kasema kamsalimie Rais, kamwambie NASHUKRU.Mama kaona isiwe tabu... isitoshen bwana yule hana mamlaka ya kumtumbua...
Huyu mama ni kondoo anayelazimika kufanya kazi na mbwamwitu
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa.
Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana.
Mwananchi lililokuwapo hospitalini hapo wakati Mama Samia, Balozi Chana na maofisa wengine wakiwasili hospitalini hapo.
Lissu amelazwa hospitalini hapo akiuguza majeraha ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 aliposhambuliwa Septemba 7 akiwa nyumbani kwake, Area D mjini Dodoma.
Makamu wa Rais amefika hospitalini akiwa njiani kurudi Tanzania baada ya asubuhi kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta.
Samia anakuwa kiongozi mkuu wa kwanza wa Serikali ya Tanzania kumtembelea Lissu hospitali tangu alipolazwa usiku wa Septemba 7.
View attachment 639832
View attachment 639833
TL kamshukuru sana mh. Rais sasa leo haya makarai sijui yatasema nini na da'Mange wao..
Sikatai sijasema Lisu alitakiwa kupelekwa kujiandikisha ubalozini akiwa na madrip hapana.Lisu alibebwa ndege ya hospitali yenye manesi na madaktari akiwa na genge LA watu kibao Ndani ya ndege na wala ruzuku na michango ya Lisu kibao waliokata miezi Nairobi akina mke wa Lisu, Mbowe Msigwa,Lema,dreva wa Mbowe,dreva wa Lisu,Msemaji wa.chadema hemed nk hao wote hakuwepo hata mmoja wa kubeba passport za wenzie wote na document za Lisu azipeleke kusajili ubalozini? Akina Msigwa na Mbowe wamerudi wamenenepa na vitambi walishindwa kupeleka documents miezi yote walikuwa wanafanya nini?Kaka yake Lisu pia kaenda kule tena mwanadheria mwingine ni Mdogo wake Lisu mhadhiri wa UDSM ameenda kule walushindwa kupeleka documents ubalozini? Balozi hapati taarifa barabarani.Chadema genge LA wahuni
Akihojiwa na gazeti la Financial Times Lissu amemtaja Rais Magufuli ndiye mhusika mkuu wa kushambuliwa kwake.kwa mujibu wa ITV
"Mhe. Samia Suluhu Hassan amemfikishia salamu za pole kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ambaye amemtakia matibabu mema na kupona haraka ili arejee nyumbani na kuendelea na majukumu yake".
Mimi ni Mkristo ila tumezidi kwa Roho mbaya na kudhuru .. Waisilamu Swafi wana utu na wanachukia sana kumhudumu mtu..wanapenda haki na wanathamini sana wengine.. Nilikuwa Pemba nilijifunza mengi sana..
Mke wa Lisu ni mwasheria hajui hiyo procedure? Yeye kama angekuwa hana muda kwa kuwa anauguza alitakiwa awashijikize akina mbowe Msigwa,godless Lema nk kuwa acheni kuuza sura hapa Nairobi bebeni documents zangubns za mgonjwa na zenu mkasajili ubalozini.Acheni kuuza sura Nairobi.Hivi miezi yote Mbowe na Mchungaji Msigwa cha maana walichokuwa wakifanya nini zake ya kujiipiga selfie na kubomoa ruzuku? Kupeleka documents tu ubalozini hawakupelekaKwani hospitali angeenda kumuona Mbowe au mgonjwa?
Lisu kajiandikisha leo ubalozini?
Ahsante Mama Samia, iache Pombe iendelee kuvunda!!
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa.
Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana.
Mwananchi lililokuwapo hospitalini hapo wakati Mama Samia, Balozi Chana na maofisa wengine wakiwasili hospitalini hapo.
Lissu amelazwa hospitalini hapo akiuguza majeraha ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 aliposhambuliwa Septemba 7 akiwa nyumbani kwake, Area D mjini Dodoma.
Makamu wa Rais amefika hospitalini akiwa njiani kurudi Tanzania baada ya asubuhi kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta.
Samia anakuwa kiongozi mkuu wa kwanza wa Serikali ya Tanzania kumtembelea Lissu hospitali tangu alipolazwa usiku wa Septemba 7.
View attachment 639832
View attachment 639833
Bila shaka ndio mara ya kwanzaHivi balozi huyo ndiyo Mara yake ya kwanza kwenda hapo kumtembelea lissu!
Ova
.
Sikatai sijasema Lisu alitakiwa kupelekwa kujiandikisha ubalozini akiwa na madrip hapana.Lisu alibebwa ndege ya hospitali yenye manesi na madaktari akiwa na genge LA watu kibao Ndani ya ndege na wala ruzuku na michango ya Lisu kibao waliokata miezi Nairobi akina mke wa Lisu, Mbowe Msigwa,Lema,dreva wa Mbowe,dreva wa Lisu,Msemaji wa.chadema hemed nk hao wote hakuwepo hata mmoja wa kubeba passport za wenzie wote na document za Lisu azipeleke kusajili ubalozini? Akina Msigwa na Mbowe wamerudi wamenenepa na vitambi walishindwa kupeleka documents miezi yote walikuwa wanafanya nini?Kaka yake Lisu pia kaenda kule tena mwanadheria mwingine ni Mdogo wake Lisu mhadhiri wa UDSM ameenda kule walushindwa kupeleka documents ubalozini? Balozi hapati taarifa barabarani.Chadema genge LA wahuni
Unamaana leo Samia kajipeleka au ameitwa na kina Mbowe?
Pindi Chana angeenda kufuata nini wakati mlishatangaza hamtaki msaada kutoka serikalini na mahusiano na watu wa serikali
So kama ni chuki wahoji kwanza Lisu mwenyewe, Familia yake na CHADEMA
Kama mnakubalika bunduki za nini, police wa nini na panga za nini na mashoka ya nini?!Kati ya kata 40 na kitu chadema imeambulia moja