YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Hivi Chadema kwa nini hamjampongeza mshindi wa kiti cha udiwani Rungwe ambaye ni mshndi pekee. Acheni ubaguzi mtu kashinda nchi nzima peke yake hakuna upinzani ulioshinda zaidi ya yeye kutompongeza hadi saa hii kama ukawa au upinzani ni kitu ganiShetani hawezi kutuma mtu kuona mgonjwa, never.