Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki ya Mungu bongo!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si nasikia analea??? Leo nyumba ndogo ikikaa vibaya itachezea kichapo...
Mama ni mama...Ofcoz amejiongeza..ametumia busara ya kibinadamu..japokua alienda Nairobi Kwa mualiko..lakini akaona si vibaya akaua ndege wawili Kwa jiwe moja.
Hakika mkuu..Mama ni mama...
Hivi huyu hawezi kutumbuliwa?[emoji275]
Pindi Chana mnafiki tu, siku zote yuko Nairobi hajaenda akiogopa kutumbuliwa Leo kajikinga kwenye mgongo Wa Samia ili ionekane hakwenda rasmi ila alimsindikiza mkubwa wake. Tunakuchana Wewe Pindi Chana mnafiki mkubwa.
Tomasoweka picha ili tuamini
Ningemsifu kama safari yake ingekuwa ni ya kwenda kumwona Lissu tu. Kilichofanyika hapo ni kujivua aibu. Aende kwa lingine, halafu arudi bila kuona mgonjwa; asingeeleweka.Safi sana Mama,utu kwanza siasa baadae.
Sikatai sijasema Lisu alitakiwa kupelekwa kujiandikisha ubalozini akiwa na madrip hapana.Lisu alibebwa ndege ya hospitali yenye manesi na madaktari akiwa na genge LA watu kibao Ndani ya ndege na wala ruzuku na michango ya Lisu kibao waliokata miezi Nairobi akina mke wa Lisu, Mbowe Msigwa,Lema,dreva wa Mbowe,dreva wa Lisu,Msemaji wa.chadema hemed nk hao wote hakuwepo hata mmoja wa kubeba passport za wenzie wote na document za Lisu azipeleke kusajili ubalozini? Akina Msigwa na Mbowe wamerudi wamenenepa na vitambi walishindwa kupeleka documents miezi yote walikuwa wanafanya nini?Kaka yake Lisu pia kaenda kule tena mwanadheria mwingine ni Mdogo wake Lisu mhadhiri wa UDSM ameenda kule walushindwa kupeleka documents ubalozini? Balozi hapati taarifa barabarani.Chadema genge LA wahuni.
..kuna mwingine nimemsoma anadai msafara uliompeleka Lissu walipaswa kuripoti kwanza ubalozini.
..mimi nasema hapana. Walipaswa kuripoti HOSPITALI ili kumpatia matibabu ya haraka.
Hapo mwisho umesemaje???nawaza tu japo nimelewa pombe kali ....... akili za pombe sio nzuri
- Nasikia kuna mtu Mwenye frastruation jumapili alimwambia Polisi likubwa pale Bandarini " Kama mtu anakunanihii mtwange".!!!
- Lissu YUpo hospitali baada ya kutwangwa risasi kadhaa na watu wasiojulikana
Paskali sikuamini inapokuja kwa wapinzani, sikuamini, sikuamini, sikuamini Pascal MayallaHuu ndio utu na ubinaadamu, Mungu ambariki sana huyu mama.
Yaani huyu balozi wetu Dr. Pindi Chana, she used to be a very confident lady, sijui confidence yake imepotelea wapi hadi kushindwa kumtembelea Lissu siku zote hizi, lazima Balozi ajisikie aibu, yeye yuko Nairobi kumtembelea Mtanzania, Mbunge, Rais wake wa TLS (Pindi ni Lawyer), Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, ni mpaka VP aje ndipo na yeye aende kumuona Lissu!.
All and all, better late than never.
Wamefanya uungwana mkubwa.
Paskali.
Atume watu wampige risasi halafu atume tena wa kumsalimia, never, huyo lazima atakuwa shetani.Dah...amtumbue wakati yeye ndiyo kamtuma[emoji15]