Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Teh teh teh teh teh...bado una la nyongeza?

Ni nani aliyetoa CCTV camera kule area D mjini Dodoma?

Na kwa nini alizitoa?
 
TL amemshukuru sana rais lakini nyie makarai mnapiga kelele na kupayuka hovyo huku mmejificha nyuma ya keyboard. Kazi mnayo.
Akihojiwa na gazeti la Financial Times Lissu amemtaja Rais Magufuli ndiye mhusika mkuu wa kushambuliwa kwake mwisho wa kunukuu.
 
Ingemjengea picha mbaya asingeenda kumsabahi Hon. TL.
 
ibada njema kutembelea wagonjwa...lakini vipi kama kusingekuwa na sherehe za kuapishwa Uhuru?
Hata mm nimejiuliza hlo suala...isije kuwa katumwa kummalizia....

Naogopa sana maana hawaaminiki....

Au ndo kajitoa Mhanga tu bila bosi wake Kujua km atapitia huko....

Mmmmhhh....ila itakuwa ilikuwa planned kuwa atapita kumuona...

Labda walishajutia kuwa maamuzi waliyofanya ya kumuua TL hayakuwa sahihi...na sasa wanajirudi...

Mambo mengine bana ...ni magumu kuelewa..
 
Dear Mama Samia Suluhu Mnyazi Mungu akubariki kwa kitendo hicho cha kibinadamu (japo long overdue but better late than never). Sote waja wake Mola uzima na maradhi ni sehemu ya maisha yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…