likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
Unajuaje kuwa hajawahi kwenda kumuona LISSU?Ina maana kumbe tuna balozi huko? mbona sikuzote hakwenda?
tena pindi chana huyu si mtu w asingida huyu na lissu si ndugu yake kabisa au ?
Awake picha Mara ngapi?au we kipofu?weka picha ili tuamini
Mke wangu anitume na wewe unitume, nimeshakuambia ni Financial Times inatosha.Mkuu kuna Ttz ukileta hilo gazet tulisome?
Alitumwa kumuwakilisha raisi kwenye inauguration ya "uhuruto" ambapo mapokezi yalikuwa mediocre. Kwenda kumuona lissu ilikuwa no jambo jema hata kama silo lililompeleka huko!Wala hatofukuzwa ..... katumwa kwenda.
Yani ww lijamaa huwa nikionaga komentzako tu .nasema hili lishetani tena hilo .Mungu anisamehe kama huwa nakuhukum kukuona kama shetani kama kweli ww nibinadam mwenzangu.hahahahahaha bawacha bhana kwani makamo wa Rais amemuwakilisha nani kenya? mnafikiri hiyo ziara haikupangwa?
bila amejuzwa matokeo ya kata 43
Aliogopa kwenda akijua atarejeshwa nchiniIna maana kumbe tuna balozi huko? mbona sikuzote hakwenda?
tena pindi chana huyu si mtu w asingida huyu na lissu si ndugu yake kabisa au ?
Pale wamesema kapeleka salamu tuKapeleka pesa za matibabu?
Hakuna mareefu yasiyo na ncha ndugu yangu kwa kusema hivo yeye sio kwamba ataishi milele naye ataingia kwenye jeneza la saizi yake when the time comes ..halafu watu watakusahau hata kukumbuka jina lako litasahaulika kama hukuepo vile mana unaumiza wenginawaza tu japo nimelewa pombe kali ....... akili za pombe sio nzuri
- Nasikia kuna mtu Mwenye frastruation jumapili alimwambia Polisi likubwa pale Bandarini " Kama mtu anakunanihii mtwange".!!!
- Lissu YUpo hospitali baada ya kutwangwa risasi kadhaa na watu wasiojulikana
Sio watanzania wote bali hayo makarai tu. Ndio maana yanatwangwa kwenye uchaguzi kwa sababu yanapenda propaganda potofu za da'Mange. Na yataendelea kugalagazwa chaguzi zijazo kama hayatajitafakari kwa kina.Ama ukweli sisi Watanzani ni watu wajinga sana. Hivyo mnafikiria Raisi hana hiyo ratiba ya makamu wake, na siajabu wameipanga wote. This is a planned visit.
Aisee nanusaa jambo kubwa kutokea juu ya uamzi huu
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa.
Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana.
Mwananchi lililokuwapo hospitalini hapo wakati Mama Samia, Balozi Chana na maofisa wengine wakiwasili hospitalini hapo.
Lissu amelazwa hospitalini hapo akiuguza majeraha ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 aliposhambuliwa Septemba 7 akiwa nyumbani kwake, Area D mjini Dodoma.
Makamu wa Rais amefika hospitalini akiwa njiani kurudi Tanzania baada ya asubuhi kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta.
Samia anakuwa kiongozi mkuu wa kwanza wa Serikali ya Tanzania kumtembelea Lissu hospitali tangu alipolazwa usiku wa Septemba 7.
View attachment 639832
View attachment 639833
Wamerudi wamenenepa.unataka kusema hawa ulowataja wananjaa yachakula kule ndo walikuwa wananakula vizuri .watu walikuwa wanamuuguza nduguyetu kapigwa marisasi kibao .ww unaropoka eti wamerudi wamenenepa ..
Sikatai sijasema Lisu alitakiwa kupelekwa kujiandikisha ubalozini akiwa na madrip hapana.Lisu alibebwa ndege ya hospitali yenye manesi na madaktari akiwa na genge LA watu kibao Ndani ya ndege na wala ruzuku na michango ya Lisu kibao waliokata miezi Nairobi akina mke wa Lisu, Mbowe Msigwa,Lema,dreva wa Mbowe,dreva wa Lisu,Msemaji wa.chadema hemed nk hao wote hakuwepo hata mmoja wa kubeba passport za wenzie wote na document za Lisu azipeleke kusajili ubalozini? Akina Msigwa na Mbowe wamerudi wamenenepa na vitambi walishindwa kupeleka documents miezi yote walikuwa wanafanya nini?Kaka yake Lisu pia kaenda kule tena mwanadheria mwingine ni Mdogo wake Lisu mhadhiri wa UDSM ameenda kule walushindwa kupeleka documents ubalozini? Balozi hapati taarifa barabarani.Chadema genge LA wahuni
Huna macho nini ...hujaona picha hapo juuweka picha ili tuamini