Weka wewe Picha kua hajaenda ili tusiaminiweka picha ili tuamini
Mlivyo mtaskia na huyo wenu!Mara nyingi akina mama wana roho ya utu; hongera mama yetu umedhihirisha
Kwani yeye ni Jipu??Ina maana kumbe tuna balozi huko? mbona sikuzote hakwenda?
tena pindi chana huyu si mtu w asingida huyu na lissu si ndugu yake kabisa au ?
Kati ya kata 40 na kitu chadema imeambulia mojanawaza tu japo nimelewa pombe kali ....... akili za pombe sio nzuri
- Nasikia kuna mtu Mwenye frastruation jumapili alimwambia IGP pale Bandarini " Kama mtu anakunanihii mtwange".!!!
- Lissu YUpo hospitali baada ya kutwangwa risasi kadhaa na watu wasiojulikana
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa.
Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana.
Mwananchi lililokuwapo hospitalini hapo wakati Mama Samia, Balozi Chana na maofisa wengine wakiwasili hospitalini hapo.
Lissu amelazwa hospitalini hapo akiuguza majeraha ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 aliposhambuliwa Septemba 7 akiwa nyumbani kwake, Area D mjini Dodoma.
Makamu wa Rais amefika hospitalini akiwa njiani kurudi Tanzania baada ya asubuhi kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta.
Samia anakuwa kiongozi mkuu wa kwanza wa Serikali ya Tanzania kumtembelea Lissu hospitali tangu alipolazwa usiku wa Septemba 7.

42 kwa 1 NDIO SAHII... ila haihusiani nalichoandika mlevi mimi..Kati ya kata 40 na kitu chadema imeambulia moja
Sasa bavicha endeleeni kuandika mpaka 202042 kwa 1 NDIO SAHII... ila haihusiani nalichoandika mlevi mimi..
Hakutakuwa na sababu ya kurudi kwenye sanduku la kura....Amtumbuwe aone moto....wanarudi kwenye sanduku la kura na ndio atawajua wazanzibar ni kina nani...
Anaweza in other way round! Anamlazimisha ajiuzuru, na mchezo unaishia hapo labda mama adindishe!!Hawezi.