Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Anaenda kinyume na "mtakatifu". Ngoja tusubiri , kuna mmoja aliambiwa 'anavipele'
Raisi ndio kamtuma makamu wa raisi ahudhurie sherehe za Kenyatta na apitie hospitali amuone Lisu kwa niaba yake
 
Your AGE, please? (For, If you're not a kid)nimehisi kama katika ukuaji wako, kuna miaka KADHAA ubongo wako ulistuck, ukaacha sehemu nyingine za mwili wako zikue peke yake?
 
Tatizo la viongozi wengi katika serikali wanasubiri mpk kila kitu waambiwe na namba moja. Yaani ata kutekeleza baadhi ya majukumu yao wanashindwa .wamejawa hofu na ndio wanamkwamisha mpendwa namba moja wetu.nashukuru juzi aliwachana pale bandarini.
 
Uzuri wa huyu mama ana busara nyingi sana pia sio mnafiki.
 
Kwa hiyo kutembelea wagonjwa imekua breaking news siku hizi!!?
Kwa sababu imekuwa kama ndoto mtu karibu ana miezi mitatu kitandani leo ndio unaenda kumtembelea, kwa hulka ya mtanzania na kibinadamu ni kama ajabu vile.
 
Hivi balozi huyo ndiyo Mara yake ya kwanza kwenda hapo kumtembelea lissu!

Ova
Huyo baloz mnafki,atakua leo kalazimishwa,
Upara magogon utaota nywele

Hicho kiungulia leo itabid alambe magadi
 
Mungu wetu sote akutangulie mama samia suluhu,utu ni bora kuliko chochote katika dunia yetu.
 
Sijui ndio kutupoza na machungu ya uchaguzi wa madiwani?

Anyway,tunashukuru mama kwa utu wako angalau umekuwa tofauti na wenzako.
 
Tusije kusikia kesho kaamua kujiweka pembeni na cheo
 
Amefanya vizuri japo alichelewa sana. Au anataka kuzima story ile!!
 
wapi ofisin kwa sizonje hapatamaniki huko . ni mwendo wa mateke . viti havitamaniki
 
Hakika Ni picha ya siku. Mungu awabariki wote. Mgonjwa na mfariji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…