Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Spot on. Hawa watu wana siri nyingi sana sema tu mifumo yetu nayo ni mibovu kwa kujaa rushwa sana.Huwa kuna mambo mengine pia. Sadaka tu haitoshi kufanya hayo yote. Wana biashara zao za siri.
Kwani pasaka mbali basi? Usiandikie mate brooChai.
Ni Bil 8.1$3,000,000 = Tsh 7.8 B
Tufungue makanisa mkuuDogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Tukutane Ijumaa ijayo tuyajengeNilimwambia Mshana Jr tufungue kanisani more than six years passed, yupo na ndumba tu,
Wewe utakuwa protocol wangu, unanifungulia mango wa gari. Mchungaji, Yeye Ashindaye. Mchungaji wa AhadiTufungue makanisa mkuu
Tutapiga ela nzuri sana
Wanamiliki nchi gani huko... Kwa hapa Tanzania hata robo hawafikiBiashara ya Dini inalipa kinoma,
Ndo maana ROMAN CATHOLIC wanapesa kuliko Serikali yoyote Ile duniani
Roman Catholic wanamiliki Robo ya kipande Cha ardhi yote ya hii dunia
Ni biashara poa sana, maana wengi wetu bado wajinga,kama Mungu kakupa kipaji cha kuongea, upo charismatic, eloquent, una ka degree, na uelewa kidogo, fungua kanisa tu, watu kama Dokta Mwaka, Masoud Kipanya, Oskar Oskar, Sugu,wakifungua makanisa, mpunga nje nje,Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Hakuna cha upako hapo yaani we wasiliana na wakuu wa CCM utii vigezo na masharti yao na watakumilikisha fedha, majumba, gari za kifahari, michepuko nk...Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Usidanfanyike sio pesa za wauminiPesa za waumini hizo. Halafu unakuta muumini hana hata nyumba au eneo
Leo nimepata Kadi yangu ya chama cha majiziHakuna cha upako hapo yaani we wasiliana na wakuu wa CCM utii vigezo na masharti yao na watakumilikisha fedha, majumba, gari za kifahari, michepuko nk...
Usiseme sijakupa siri.
Kwakuwa umeiona fursa ichangamkie.Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Na sasa utuambie utaitumiatumiaje?Leo nimepata Kadi yangu ya chama cha majizi
Umeongea kwa codeFungua na wewe uone kama utapata hata mtu na nusu