Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Huwa kuna mambo mengine pia. Sadaka tu haitoshi kufanya hayo yote. Wana biashara zao za siri.
Spot on. Hawa watu wana siri nyingi sana sema tu mifumo yetu nayo ni mibovu kwa kujaa rushwa sana.

Hakika kama mifumo yetu ingekuwa makini hawa watu wangekuwa wanaumbuliwa mchana kweupe na kuishia gerezani.
 
Mnawaona wanaotumia dini kukusanya michango, lakini kuna chadomo wao wanatumia siasa kukusanya michango kutoka kwa raia wanaosema ni maskini.
 
Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.

Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.

Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Tufungue makanisa mkuu
Tutapiga ela nzuri sana
 
Biashara ya Dini inalipa kinoma,

Ndo maana ROMAN CATHOLIC wanapesa kuliko Serikali yoyote Ile duniani

Roman Catholic wanamiliki Robo ya kipande Cha ardhi yote ya hii dunia
Wanamiliki nchi gani huko... Kwa hapa Tanzania hata robo hawafiki
 
Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.

Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.

Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Ni biashara poa sana, maana wengi wetu bado wajinga,kama Mungu kakupa kipaji cha kuongea, upo charismatic, eloquent, una ka degree, na uelewa kidogo, fungua kanisa tu, watu kama Dokta Mwaka, Masoud Kipanya, Oskar Oskar, Sugu,wakifungua makanisa, mpunga nje nje,
Huwa nawasikiliza Kuhan Musa, na Mwamposa, nabaki natabasamu tu!
Tangu kipindi hicho, cha miaka ya, 90,mikutano ya injili ilipoanza pale Jangwani, Sijawahi kukutana na kilema, aliyepona ninaye mjua kitaa nilipokuwa naishi, wengi tunaowaona wakitupa magongo, na kunyooka viungo, kwa sababu moja au nyingine huwa sio wakazi wa kitaani eneo Hilo!
Ukiwa dar, utaaambiwa wametoka kigoma, kagera, mkutano ukienda singida, watoa ushuhuda, watatoka mtwara! Miujiza hii!
 
Pesa za waumini hizo. Halafu unakuta muumini hana hata nyumba au eneo
Usidanfanyike sio pesa za waumini
kwa waumini gani haswa wenye pesa hizo

Sell me your soal I will give you everithings(satan quote)

tafuta chochote ufanye uonekane unafanya biashara yoyote inayoingiza pesa

hakuna pesa za waumini
mambo ya kwenda kwa waganga sijui uvae ndala siku zote sijui utoke kidonda yamepitwa na wakati
now mambo yanakwenda kihivyo
 
Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.

Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.

Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Kwakuwa umeiona fursa ichangamkie.
 
Back
Top Bottom