Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.

Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.

Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Jichanganye alfu uje uone 😂
 
sadaka za waumini zimemuwezesha kununua eneo ili ajenge kanisa, sio ili ajenge nyumba au mradi wake. Shida iko wapi?
 
Usidanfanyike sio pesa za waumini
kwa waumini gani haswa wenye pesa hizo

Sell me your soal I will give you everithings(satan quote)

tafuta chochote ufanye uonekane unafanya biashara yoyote inayoingiza pesa

hakuna pesa za waumini
mambo ya kwenda kwa waganga sijui uvae ndala siku zote sijui utoke kidonda yamepitwa na wakati
now mambo yanakwenda kihivyo
Where to sell my soul for wealth. ? Mnaongea hamsemi au hammalizii sentensi.
 
Back
Top Bottom