Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Anadhani ni rahisi eeeehhFungua na wewe uone kama utapata hata mtu na nusu
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anadhani ni rahisi eeeehhFungua na wewe uone kama utapata hata mtu na nusu
Kalagabaho,,,unafikiri hizo sadaka zikikusanywa miaka kadhaa unafikiri hazifiki..unadhan ni mtu mmoja anatoa bilioni 7 na ushee..Muumini gani wa kutoa hizo pesa?
Eh nilivyoona picha yako na unaemshadadia ni kapola nikapigia mstari tu majibu...Eh muache dadie tajiri [emoji4]
Jichanganye alfu uje uone 😂Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Sasa kwanini uko hapa mkuu na akina sisi hohehahe , hutaki utajiri? Naomba niunganisha nae basiMtalemwa Bushiri ni mdogo wangu!! Ana pesa chafu saaana
Namna ya kupata hio "mazingaombwe" ndio mtihani..Kufanya watu wakuletee sadaka, waanguke na mapepo, ukutane na watu wakuunganishe kwenye chaneli za hela si kazi rahisi; kuna mazingaombwe yaliyojificha.
Kitabu kile ni njia tu.
Hiyo ni hela chafu , hao wanatumika tuu.Yanalipa sana mtaji ni
-maneno mengi vifungu kidogo
-wadada na wamama ukifanikiwa kuwanasa umemaliza kazi
-sauti ya kukoroma "jiyoni yea leo" (in upako voice)
Wanasema ongea na watu uweze kuvaa viatu; jenga urafiki wa karibu na hao watoa huduma.Namna ya kupata hio "mazingaombwe" ndio mtihani..
sadaka za waumini zimemuwezesha kununua eneo ili ajenge kanisa, sio ili ajenge nyumba au mradi wake. Shida iko wapi?Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.
Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.
Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
Where to sell my soul for wealth. ? Mnaongea hamsemi au hammalizii sentensi.Usidanfanyike sio pesa za waumini
kwa waumini gani haswa wenye pesa hizo
Sell me your soal I will give you everithings(satan quote)
tafuta chochote ufanye uonekane unafanya biashara yoyote inayoingiza pesa
hakuna pesa za waumini
mambo ya kwenda kwa waganga sijui uvae ndala siku zote sijui utoke kidonda yamepitwa na wakati
now mambo yanakwenda kihivyo
"Biashara zao za Siri"🤔Huwa kuna mambo mengine pia. Sadaka tu haitoshi kufanya hayo yote. Wana biashara zao za siri.
Wanatakatisha sana pesaHuwa kuna mambo mengine pia. Sadaka tu haitoshi kufanya hayo yote. Wana biashara zao za siri.
Hakuna waumini wa kuchangia sadaka ya lifestyle aliyonayo mwamba. Hakuna hapa Bongo labda kama wanaotakatisha mpunga ndio wanaweza mpa mchongo wa mafanikio yale.Pesa za waumini hizo. Halafu unakuta muumini hana hata nyumba au eneo
Kabisaaa. Hiz ni cover pages tu za "mane londarin"😂Huwa kuna mambo mengine pia. Sadaka tu haitoshi kufanya hayo yote. Wana biashara zao za siri.