Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Gaming board hamna MD, tulia tamisemi
 
Lete kifungu kutoka kwenye United Nations charter tukione tujadili
 
HESLB psssf na bima ni kwa maslahi Yako mwenyewe usiwe na uchungu.Serkali ingepunguza Kodi kwa wafanyakazi kwa 20/100 ili wamudu gharama za msingi na kuondoka vishawishi vya rushwa
 
Wewe ndio kilaza hakuna MD atakubali afanye kazi ya jeshi lolote lile hapa Tanzania halafu alipwe chini ya mshahara wa TAMISEMI,.............sababu ni Moja tu,MD hawachukui vilaza kule,na 70% ya MD student sio watu masikini kama kada zingine kua mtu anasoma Ili mradi tuπŸ˜ƒπŸ˜€,
Mwisho jeshi lolote lile duniani hata liwe mgambo MD lazima awe OFFICER
je unajua kwa nini?πŸ˜€πŸ˜ƒ
 
Na sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?

Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.

Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
Mwingine ni darasa la 7 D ila yupo jeshini kwa kujua kupiga ngoma ama ana cheti cha VETA cha ufundi bomba na anakunja zaidi ya 1m per month.
 
Gaming board hamna MD, tulia tamisemi
NIMR mtu marketing anafanya nini?πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€,MDH civil engineer anafanya nini?
Residency at Texa central hospital,U.S.A,mtu wa geology anafanya nini?
Au unadhani hakuna taasisi zinazolipa vizuri sanaa ambazo zimejaaa MD tu na watu wa afya?
πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜†
NOTEπŸ˜›opote pale penye MD na kada zingine akiwepo jua tu MD atakupiga pumbu
Kama tu kwenye hio salary slip aliyeileta mtoa mada,wafanyakazi wa kada zingine zoooooooooooote wanapiga pumbu na MD kwa huyo muajiri waoπŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜…
 
Lete kifungu kutoka kwenye United Nations charter tukione tujadili
πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜†Nenda Lugalo tafuta MD ambaye ni sergent πŸ˜†πŸ˜…πŸ€£πŸ€£..........MD sio matako mkuu kua Kila mtu anaweza kusoma
U.S ili usome MD inabidi uwe na degree nyingine
Tanzania MD ndio kada pakee mtu analipwa salary ya Masters
 
Nimekuuliza kuhusu united nations charter unaniambia niende lugalo, ww una akili kweli?
US sio medicine tu hadi LAW DEGREE lazima uwe na degree nyingine
Salary ya masters hiyo take home laki8? Hivi unaona laki8 ni hela, nenda kwa maafisa mipango miji procurement na ARDHI uone wenzio walivyokuwa na pesa sio kusubiri elfu 50 za OnCall allowance takataka
 
-Mfanyakazi wa nimr hamfikii ofisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha wala tra,lofa huna akili unapalilia umasikini wa laki8 na mke wako atagongwa sana kwa sababu umeridhika na laki8
- unashangilia MD kulipwa hivyo vijisenti bila kuangalia unasoma 5yrs to six unakuja kulipwa takataka
 
Hebu lete kifungu kutoka kwenye the national defense act or defense regulations or Force routine order ya jeshi inayosema hivyo Mbweha msubiri mshahara taka taka za laki 8 kinyesi
 
spleen ww ni masikini kabisa unashangilia MD kulipwa takataka za laki8 wakati kasoma miaka6 ni upuuzi badala ya kuleta hoja mshahara upande ww umekaa umeridhika na takataka za laki8 na oncall zatsh 50
 
Nimekuambia MD analipwa 1.5M ila haanzi na nyota. Kumbe huelewi duh
 
MD aliyepo JhPiego,W.H.O analipwa mara 5 ya mishahara ya wafanyakazi 10 wa bodi ya kubahatishaπŸ˜€πŸ˜†
Kwenye hio ofisi ya salary slip aliyeileta Mtoa mada MD anawapiga pumbu kada zote,kwa waajiriwa wapyaπŸ˜†πŸ˜€
Ushajua kwa nini MD watu wanaingia na maksi kubwa na ada yake ni kubwa kuliko kozi yeyote ile inayotolewa vyuo vikuu hapa nchini?
 
Hebu lete kifungu kutoka kwenye the national defense act or defense regulations or Force routine order ya jeshi inayosema hivyo Mbweha msubiri mshahara taka taka za laki 8 kinyesi
Yaani unasubiria mwanaume akuletee kifungu,baada ya wewe kukitafuta?πŸ˜†πŸ˜€πŸ˜€........ndio maana MD wanawapiga pumbu ninyi na mademu zenu huko maofisini,...............kama tu mtoa mada ametuma salary slip ya MD akilipwa mshahara mdogoo,nawe leta salary slip ya sociologist/kada yeyote ile kwenye hio taasisi akilipwa mshahara mkubwa zaidi ya MDπŸ˜†πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…
N.B:MD ukiajiriwa naye sehemu Moja atakupiga pumbu mbele na nyuma,hii ni PiπŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜€
 
spleen ww ni masikini kabisa unashangilia MD kulipwa takataka za laki8 wakati kasoma miaka6 ni upuuzi badala ya kuleta hoja mshahara upande ww umekaa umeridhika na takataka za laki8 na oncall zatsh 50
Sasa kwa nini MD kwenye hio taasisi ya salary slip aliyetoa mtoa mada ye ndio anaongoza kuwapiga pumbu kada zingine?,πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…
hii imekaaje hii kitaalamu?πŸ˜†πŸ˜†
Ikiwa MD hailipi,mbona ye ndio anaanza na salary kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…