Popote atakapokuwepo MD, yeye atapata mshahara mrefu kuliko wenzake.- wewe ni lofa unasoma miaka 6 halafu unakuja kupiga kelele, huzingatii huo muda uliosoma? Akili yako ni ndogo sana, umeridhika na laki8, na Nina uhakika sasa hivi hata laki2 huna umeishiwa unasubiri makombo ya laki8
Hakuna daktari wa diploma hapa Tanzania π€π€π€Kwani Mkopo ulilazimishwa kukopa?
Pili watu wanaangalia posho zaidi sio hizo salary
Mwisho Daktari wa degree au Diploma?
- akili yako ndogo MD, tra wako wangapi? MD anasoma miaka mingapi? Hizo ni factors ndio nilizoziweka hapo juu tangu awali, 80% ya officers wa BoT ni economists,accountants, finance officers, the rest wako wachache nyie MD mmejazana halmashauri mnapokea makombo ya laki8Umegundua ulivo kilazaaaaa,kwa hio umegundua hata BOT,TRA,NAOT etc,umegundua MD wapo ila kwa uchache eeeh.......π€£π π,yaani lengo langu ni kuweka reference kwenye huu Uzi kuonehaa UPUMBAVU WAKO ili Kila mwenye akili ajue,..........
haya sasa tuje kuonesha tena UPUMBAVU wako hapaππ π
Kwa hio wahasibu, sociologist,wao wamejazanaaa sanaaa gamingboard,TRA na BOT na wanalipwa salaley ndefu kuliko MD na kule halmashauri wapo wachache sanaaa,waliojazana ni MD tu?,,π π€£π€£,si ndio eeeeh
Nakwambia huwezi kumfikia ofisa wa gaming board kwa mshahara,posho,Wala michongo ya magumashi, ww uko chini sanaKwa hio Taasisi zingine ambazo MD anafanya kazi hazina posho zaidi ya mtu anayefanya kazi gaming boards eeeeh,huko pekee ndio kuna poshoπ π π,daaah we jamaa ni genius,,ππ ππ,una akili sanaaa
Una ujua muundo wa utumishi vizuri wa hizo kada?Kwa hio sociologist ,accountants akisoma hadi masters,phD miaka zaidi ya 6,akianza kazi analipwa zaidi ya MD sababu amesoma miaka mingi kuliko MD?,Si ndio eeehπ€£π π
Upo sawa kwa hio MD hawawezi kufanya kazi kwenye taasisi si ndio,ambazo 80% wanaweza kua waoππ- akili yako ndogo MD, tra wako wangapi? MD anasoma miaka mingapi? Hizo ni factors ndio nilizoziweka hapo juu tangu awali, 80% ya officers wa BoT ni economists,accountants, finance officers, the rest wako wachache nyie MD mmejazana halmashauri mnapokea makombo ya laki8
-ni kweli most of officers wa Gaming board,tra,bot ni economists accountants and finance officers, tax,customs, kwa nini nisingesema ni (Engineers ambayo ni taaluma yangu),
- Halmashauri wamejaa MD, CO, ukitaka kujua hilo hesabu idadi ya hospitali, vituo vya afya kwenye mkoa1, utakuta kuna vituo vya afya, hospitali zaidi ya 30, lakini ofisi za Tra kwenye mikoa kama Lindi ziko chache ni mkoani na wilayani tu.
Na umesoma miaka6?Popote atakapokuwepo MD, yeye atapata mshahara mrefu kuliko wenzake.
Kwenye ngazi shahada, hata BoT kwenye dispensary yao, akiwepo MD yeye atakula mpunga mrefu kuliko kada nyingine zenye kiwango sawa cha elimu.
Mi sijui ndio unielekeze mkuu,..........enheee muundo upojeUna ujua muundo wa utumishi vizuri wa hizo kada?
Hiyo taasisi uliyotaja nimr hamfikii ofisa wa gaming board kwa mshahara posho Wala michongo ya magumashiUpo sawa kwa hio MD hawawezi kufanya kazi kwenye taasisi si ndio,ambazo 80% wanaweza kua waoππ
Upo sawa,NIMR wamejaa wahasibu tu pale na masociologistπππ
Ni kweli wahasibu,sociologists,hawapo TAMISEMI wala serikali kuu wengi wamejazana BOT,TRA na gaming boards,daaah we jamaa unabishana kwa facfs na una akili mnooo,na upo sahihi 100%,πππππ€£
Ni na ni kweli bana MD kulipwa hio pesa anaonewa sababu amesoma miaka 6,ila kada zingine kulipwa hela ndogo kuliko MD hawaonewi sababu wamesoma miaka 3,daaah we jamaa ni geniusπ€£ππππ
Kila mtoa mada akileta mchango wake anakupiga PUMBU tu kwa factsπππ€£π,na ndio hivo hivo hata ukiwa kazini hata uwe MBISHI vipi kwenye taasisi yeyote unayoijua wewe,MD lazima akupige pumbuπ€£ππNa umesoma miaka6?
Kama huujui kwa nini unaongea vitu usivyojua?Mi sijui ndio unielekeze mkuu,..........enheee muundo upoje
Umemaliza mwambaNa sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?
Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.
Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
Mi najua sababu umenielekeza kua accountants,sociologist wamejazana gaming boards,.......pia najua kua MD aruhusiwi kupata hela nje ya mshahara halmashauri zaidi ya bwanaa ardhi na afisa mipango,ππ€£ππKama huujui kwa nini unaongea vitu usivyojua?
Md wangapi wapo ewura,? Tra, gaming board, tasac, TPA? Hiyo kozi ya MD Iko limited maeneo yale yenye hela ,posho, mshahara, magumashi, wengi wenu taasisi zenu ni tamisemi,nimr,πKila mtoa mada akileta mchango wake anakupiga PUMBU tu kwa factsπππ€£π,na ndio hivo hivo hata ukiwa kazini hata uwe MBISHI vipi kwenye taasisi yeyote unayoijua wewe,MD lazima akupige pumbuπ€£ππ
Nakwambia ukweli, kwenye level ya halmashauri huko kada zenye pesa na michongo ni afisa ARDHI, mipango miji, procurement, accountants kidogo, MD ww komaa na oncall za elfu 50 huo mshahara wako afisa ARDHI au mipango miji anaupata kwa transaction 1 tuMi najua sababu umenielekeza kua accountants,sociologist wamejazana gaming boards,.......pia najua kua MD aruhusiwi kupata hela nje ya mshahara halmashauri zaidi ya bwanaa ardhi na afisa mipango,ππ€£ππ
Mi nasikiliza watu wenye akili kubwa kama weweπ€£π€£π€£
Hawafiki hata 10,.....kiuhalisia kada zingine zote zimejazana TRA,gaming,boards,TASAC na TPA kiasi hata halmashauri wanakosa watu wa hizo kada,.......,ππππdaaah we kama ani genius aiseee,nakupigia salutiMd wangapi wapo ewura,? Tra, gaming board, tasac, TPA? Hiyo kozi ya MD Iko limited maeneo yale yenye hela ,posho, mshahara, magumashi, wengi wenu taasisi zenu ni tamisemi,nimr,π
Hii mbona facts aiseeee.....hata salary slip za hio kada wanalipwa mara 2 ya MD halmashauri,lakini pia halmashauri MD haruhusiwi kupata hela nje ya mshahara zaidi ya hizo kadaππ€£ππNakwambia ukweli, kwenye level ya halmashauri huko kada zenye pesa na michongo ni afisa ARDHI, mipango miji, procurement, accountants kidogo, MD ww komaa na oncall za elfu 50 huo mshahara wako afisa ARDHI au mipango miji anaupata kwa transaction 1 tu
Taaluma yako ya MD imekubana kwenye options ukifika mbali nimr,muhimbili, la sivyo mmejaa halmashauri sehemu zile zenye mishahara, michongo mirefu MD wengi hawahitajiki, nakwambia ukweli tu hiyo OnCall ya elfu 50 per day ni pesa ndogo sana kwa ofisa wa Gaming board tra ewura tasacHawafiki hata 10,.....kiuhalisia kada zingine zote zimejazana TRA,gaming,boards,TASAC na TPA kiasi hata halmashauri wanakosa watu wa hizo kada,.......,ππππdaaah we kama ani genius aiseee,nakupigia saluti
Upo sawa yaaani kada zote zimejazana gaming boards,EWURA,na TASAC watu wanakula helaa pale especially SOCIOLIST wa TARURAππππTaaluma yako ya MD imekubana kwenye options ukifika mbali nimr,muhimbili, la sivyo mmejaa halmashauri sehemu zile zenye mishahara, michongo mirefu MD wengi hawahitajiki, nakwambia ukweli tu hiyo OnCall ya elfu 50 per day ni pesa ndogo sana kwa ofisa wa Gaming board tra ewura tasac
Sasa MD ana michongo kumzidi afisa ARDHI mipango miji? Kasome report ya Tume ya warioba, ''Corruption and State ' utakuta sehemu zilizotajwa kwa magumashi ARDHI Iko juu na sio Afya, nyie msubiri buku 50 za OnCallHii mbona facts aiseeee.....hata salaley slip za hio kada wanalipwa mara 2 ya MD halmashauri,lakini pia halmashauri MD haruhusiwi kupata hela nje ya mshahara zaidi ya hizo kadaππ€£ππ
Kweli wewe ni genius nakubaki snaaaa,ππ€£π€£