Makonda ashtakiwe kwa udhalilishaji alioufanya kwa mwanakamati huyu

Angekuwa mke au ndugu yangu ningemnyang'anya kipaza sauti na kumwambia twende nyumbani achana na hiyo kazi ambayo haukuiomba. Cha kushangaza kuna jitu moja lipumbavu limevaa kapero linashangilia kwa kupiga makofi!
 
Aliambiwa mara nyingi aongeze sauti.Wacheni kutetea ujinga.Unapotakiwa kutoa maelezo ili wananchi wakusikie inabidi uzungumze kwa sauti ili usikike.Alihimizwa azungumze kwa sauti mara zaidi ya mbili akawa anarudia vile vile.
Huyo dada si mwanasiasa nahuenda hiyo ni mara yake ya kwanza kuongea hadharani kwa kutumia kipaza sauti na inawezekana sauti yake ndivyo ilivyo, hoja kwanini Makonda atumie lugha ya kejeri na dharau dhidi ya huyo dada? Kama hakutekeleza wajibu wake vizuri mkuu wake wa kazi kama kanunu za ajira zinavyosema ndiye alitakiwa amhoji ofisini kwake si hadharani.
Watanzania tupinge hizi mahakama za Makonda dhidi ya watumishi wa serikali ambao wanalindwa na kanuni za ajira.
 
Anaiga udhalilishaji wa Magufuli.
 
Una uhakika amedhalilishwa?
 
Akili kisoda
 
Your browser is not able to display this video.

Ndio shida mmekubali kuongozwa na zero brains! wakati track records zinajulikana wazi.
 
Yaani basi tu. Haya madaraka yanalevya sana!
 
Subiri wewe. Sisi tunataka kujua nini kimefanyika na kamati hilo la kutoa sauti haisikiki hatutaki. Nyinyi ndio wale wa utawala wa sheria mnataka kero zisikilizwe faraghani wakati uongozi wa haki unataka kila kitu kiwe wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…