Chuma kimeshaanza kutema chechunajua kunawakati watu tunachukulia poa watu design ya makonda, ccm imekaa imeangalia ninani anaweza wakoromea ma DC na wakurugenzi wakaona kuna kuni ya akiba ipo darini.
vi ndivyo alivyo agizwa huyu hajakosea, lichama limepoteza mwelekeo so inabidi aje mpiga porojo kusaidia gori la mkono.Hili mbwiga limeanza kuharibu from day one
hana mamlaka kuwawajibisha wakuu wa mikoa na mawaziri, asidhani kama ataweza kusaga kunguni kwa wenzake kama wakati ule. Kwanza kajifaragua vibaya kwa kusema akifanywa atakuwa vilevile alivyofanywa, akifanywa imla naye atakuwa imla, mcha mungu atakuwa mcha mungu, hata akifanywa shetani atakuwa sheta. Huo ndio utawala gani kama si ulimbukeni wa madaraka?Yani hata mseme nini, ndio kashatoa maelekezo. Na sisi wananchi leo tumefarijika sana kumuona kafika kwenye kiti hicho. Na Mungu ni Mwema, atafika mbali zaidi tunapopataka.
Ukisikia Mitaani wanavyomjadili Makonda wqmeonekana wameumia Sana na wanameingiwa na uoga.
Mtu mweupe kichwani ni mweupe tu, hata awe na cheo au avae miwani kubwa.
Kama hana madoa afike mbali sana🤲🙏Yani hata mseme nini, ndio kashatoa maelekezo. Na sisi wananchi leo tumefarijika sana kumuona kafika kwenye kiti hicho. Na Mungu ni Mwema, atafika mbali zaidi tunapopataka.
Wananchi Yanga Au?Yani hata mseme nini, ndio kashatoa maelekezo. Na sisi wananchi leo tumefarijika sana kumuona kafika kwenye kiti hicho. Na Mungu ni Mwema, atafika mbali zaidi tunapopataka.
Nape akae mkao wa kula sasaMkuu huyu hakuna kikao cha CCM asichoshiriki kwa ngazi yoyote ile...yaani mauchafu yote ya CCM yanayopangwa kuhusu nchi hii yeye yumo na anahusika...
Hivyo anachokiongea anakijua na anajua mamlaka yake... sasa hivi yupo jikoni kabisa.
Unakumbuka Nape akiwa kwenye nafasi hiyo aliwahi kusema kuna Mawaziri mizigo, na baadhi ya mawaziri wakatumbuliwa.
Kaja kaanza na kumrengua msanii WA watu kiuno ili aendelee kuimarika ila Mungu ni mwenye kuona!!Yani hata mseme nini, ndio kashatoa maelekezo. Na sisi wananchi leo tumefarijika sana kumuona kafika kwenye kiti hicho. Na Mungu ni Mwema, atafika mbali zaidi tunapopataka.
Makonda hachuji mtuMkuu hujamuelewa Makonda, ametuma ujumbe mapema kwa mawaziri, wabunge, viti maalum, wakuu wa mikoa, wakuu wa Wilaya kujiandaa kumuona mapema maana kwenye uchaguzi ujao yeye ndiye mwenye chujio!
Miaka mitatu ya kusota sio mchezo, kasota sana, anataka kufidia na kujijenga. Kama hawatamuelewa mapema wajiandae kwa vilio!
Alikuwa na back up ya Katibu mkuu mzee Kinana!Unakumbuka Nape akiwa kwenye nafasi hiyo aliwahi kusema kuna Mawaziri mizigo, na baadhi ya mawaziri wakatumbuliwa.
@Lord denning Stuxnet The Boss FaizaFoxy Sir John Roberts watafurahi!Sasa kama ulikua hujui huyu ndio mwokozi wa chama...
Unajali kauli za vitisho za Makonda kwa mawaziri wa serikali ya ccm?Bado ana hangover ya utawala wa kiburi wa enzi za magufuli. Lakini kwa kuwa ccm imepoteza ushawishi, watu wenye kiburi Cha madaraka ndio nguvu Yao kwa sasa. Na yeye Makonda anajua huko kwenye chama Chao ili uonekane wa maana ni kutoa lugha za vitisho, ama kufanya uhalifu kwani ndio njia ya uhakika ya ulinzi wa chama Chao.