Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

Sahivi wanapakuwa kishenzi
 
Ndio maana hizi itikadi zenu za kisiasa zinawasumbua sana watu.

Achaneni na itikadi za kisiasa just be the President supporter inatosha sana hii
 
Mimi nimeleta kama ilivyo na kama alivyotamka .na leo sitaki kutia neno lolote lile nasoma tu maoni yenu wasomaji wangu.
Sasa nyie ccm mmechanganyikiwa? Mbona mkienda kwenye mambo ya Magufuli yaliyo ya hovyo mnamtenga na huyo "mama yenu" lakini kwenye yale ya kupigiwa mfano mnataka kuwaunganisha?
*Alipoanza kutimiza ndoto yake ya kuruka angani na kuwa kama Air hostess mkasema anafungua uchumi wa diplomasia tofauti na Magu.
*Watu kupotea na kushambuliwa mama yenu mkamtenga na huko na kusema yuko tofauti naye maana kafutia watu kesi za "kubambika" na ni mwema kuliko yule. Na mengine mengi tuu ikiwapo kuongeza mshahara "kiduchu" mwaka juzi huku mkisema ana moyo wa ajabu tofauti na yule.
LAKINI:
  • Mkizindua mradi wa umeme mkajua hapo hakwepeki, mkaanza mama yenu na yule bwana ni kitu kimoja ili naye aingie kwenye sifa hizo.
  • Ndege imekuja hapo napo mmeanza tena, na hapa mkaamua kutumia "vuvuzela" lisilo aibu litukane kabisa, "wanaomtenganisha 'mama yetu' na magu ni wanasiasa uchwara na wanaojipendekeza kwake".
Sasa tutaona hao wanasiasa uchwara wenye kujipendekeza kumpa sifa "mama yenu" na kumponda kiaina magu jee wataendelea na tabia hiyo?
Vuvuzela yeye anataka kuunganisha matendo yale mabovu (sio mazuri) ya mwendazake kwa sababu aliyashiriki, na nyie kina Mwashambwa msiotumia [emoji3447] bali tumbo hamuwezi liona hilo na poleni kwa kupelekeshwa kama ng'ombe.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Not his fan, but huwezi kutenga mafanikio ya Rais Samia na Rais Magufuli, wametegemeana.
 
Tatizo unaangalia makaratasi ya Mwigulu bila kuangalia kilichofanyika! Maneno ni mengi kuliko vitendo!
 
Yaani, hili nalo linatakiwa kutolewa maelekezo...
 
Makonda kafumua mzinga wa nyuki. Majibu atayapata si muda mrefu.
Maneno yake ukiyachunguza kwa umakini mkubwa, anasema Rais Samia hatoshi. Ile ilikuwa awamu ya tano sasa tupo awamu ya sita.
Pombe alikuwa na akili yake. Samia ana akili yake. Hawawezi kuwa sawa hata kama ilani ni ile ile na CCM ni ile ile.
 
Namba ya simu Iko wapi Mwashambwa
 
Na vipi kuhusu wale wenye chuki na mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ambao hawataki kabisa kulitaja jjna la Samia katika mafanikio ya JPM?!!!!
 
Na vipi kuhusu wale wenye chuki na mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ambao hawataki kabisa kulitaja jjna la Samia katika mafanikio ya JPM?!!!!
Wote wameonywa na kupewa onyo kali.maana amesema huwezi kuwatenganisha kwa lolote lile.
 
Samia anatekeleza mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…