Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

FISI WA TAIFA

Nakazia
 
Itajizeesha buure kuhangaika na chuki dhidi ya JK family.
 
Tatizo lilianzia pale Sukuma Gang mlipokuwa mnalazimisha kila zuri likifanyika basi liwe linatajwa hilo shetani lenu la Chattle
 
Watu wanajitekenya na kucheka wao. Yote haya aliyasababisha yeye mwenyewe Magufuli. Alijipa Umungu wa kuteuwa kuanzia wabunge hadi watumishi wa umma nchi mzima. Unajuwa nini? Mama Msoga ni mbunge, kijana naibu waziri utumishi kwann mpango husisukwe wake wa viongozi wa juu walambe mafao? Nani wa kuwazuia kama bunge lenyewe ndiyo hilo la ndiyooooo
 
Alisema 70% imejengwa na mama sawa na bwawa la Nyerere nalo 70% limejaa na mama.

Sasa huu ni uongo au ukweli? Makonda kama anaweza akamuamshe Magufuli aje amlizie kama inamuima Samia kusifiwa [emoji2957][emoji2957]
Kwanini useme hivyo.. nani kasema tunashindanisha mama na hayati?

Ujinga wa PHD
 
Huwa nashangaa sana hata mimi wanaposema eti awamu ya sita.. kwa uchaguzi upi aliofanya akashinda ili iwe awamu ya sita.. wakati bado yupo awamu ya tano
 
Alisema 70% imejengwa na mama sawa na bwawa la Nyerere nalo 70% limejaa na mama.

Sasa huu ni uongo au ukweli? Makonda kama anaweza akamuamshe Magufuli aje amlizie kama inamuima Samia kusifiwa [emoji2957][emoji2957]
Makonda hana hoja, anataka kutumia nyota ya marehemu kujiimarisha kisiasa. Wakoloni walijenga reli zaidi ya karne nzima na tunaendelea kuzitumia hadi leo lakini hatuwataki kwasababu ya uovu wao. Mungu uhesabu matendo ya mtu siyo mabarabara na madaraja, moto wa kuzimu upo palepale
 
Pengine kungekuwa na option ya kuchagua Baba, ungemkana Baba yako na kumchagua Jakaya

Yule kisharuka viunzi vya fitna za viwango vyako
 
Kuna miradi kedekede ambayo Magufuli hahusiki.

Sasa huyo Makonda anajua hii ni awamu ya ngapi? Anatumikia mabwana wangapi?

Samia fukuza huyu Makonda
Hii ni awamu ya tano kipindi cha pili, Rais aliye madarakani sasa ni wa sita kwa idadi ya marais tangu uhuru, lakini hajafika kwenye awamu ya sita hadi uchaguzi ujao wa 2025.

Inashangaza kuona na kusikia jinsi watu wanavyopindisha ukweli kama kwamba wananchi ni watu wasioelewa....Inasikitisha sana kushuhudia siasa hizi za ulaghai. 😳 Makonda yuko sahihi kwenye hili!.
 
Kwa mujibu wa nani na Katiba ipi? Wewe na huyo Bashite ndio mnatambua hivyo au?
 
Kwa mujibu wa nani na Katiba ipi? Wewe na huyo Bashite ndio mnatambua hivyo au?
Mkuu mbona hiyo iko wazi kabisa? wala, haihitaji kusomea degree ya siasa kuielewa.
Taifa hili halitajengwa kwa ujanja ujanja na unafiki. Angalizo la Makonda linaonyesha nyufa kwenye uongozi na utawala wa nchi.
 
Jibu swali langu,kama Iko hivyo Kwa nini haiitwi hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…