FISI WA TAIFATatizo linaanzia hapo Msoga kwenye ile familia ya "Fisi" Wa Taifa.
Tamaa iko mbele kuliko utu wao.
Baba anakula 80% ya mshahara wa Rais aliyepo madarakani.
Mama Mbunge,anakula mshahara mnomo na marupurupu yoote.ikiwemo hii aliyojipendekezea hivi karibuni "Mafao ya wenza wa viongozi wastaafu".
Mtoto Mbunge na waziri mwandamizi akiishi kwa matarajio ya URITHI Mkubwa huko mbeleni.
Lakini hawatosheki na sasa wanaratibu kuua Legacy ya Magufuli kwa siku zoote!
Nakazia