Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

Acha kumchafua Mh Rais. Na uwe na adabu kwa Rais.
Adabu mnazo nyie kunguni ; sisi wananchi tunabaki na ukweli kuwa utupu wa Samia ndio neema kwa mafisadi wake!!
Leo hii waziri wa afya Ummy ananunua nyumba ya shilingi billioni moja hapo pwani ya Mbezi beach; hizo hela kazipata wapi kama sio za wizi? Na Takukuru wapo wanasinzia nchi inakuliwa!
 
Makonda katika sherehe za kuipokea ndege mpya ya ATCL (BOEING 737-9 MAX) jijini Dar; amekemea tabia inayoonekana kuanza kukua na kukomaa kwa baadhi ya viongozi wa Serikali kwa ngazi mbalimbali ya kujaribu kutenganisha mafanikio yanayoendelea kutokea chini ya Rais Samia na kipindi cha awamu ya tano chini ya JPM.

Wakijaribu kuchafua huku na kusifia huku. Kitendo kicho makonda amekemea na kutaka tabia hiyo ife kuanzia leo.

Kwani hata kipindi cha kuomba kura wawili hao walizunguka kila mahali pamoja akiwemo waziri mkuu kasimu majaliwa.

Awataka waache UNAFIKI na KUJIKOMBAKOMBA.

jamaa anapenda kutrend sana
 
Back
Top Bottom