Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

Huyo anayekung'ata sikio naye kang'atwa

Huyo Jobu si alishagaaga na jimboni kwakwe??

Aombe msamaha ili asikatwe kwenye kuogombea ubunge wa kitu gani tena?
 
2026? Sikio litakuwa lishaziba
Mr. Dudumizi katika Ku- Dudumiza

Hii itakuwa Dudu magic
 
Acha uongo,

Speeker mstaafu hawezi gombea ubunge.

Pia huyo unayemwita mmiliki HATOGOMBEA!!
 


Who cares? Haitamaliza tatizo la umeme anyways
 
mwambie bi.ushungi yeye ni rais wa mpito muda wake kikatiba ushakwisha akae pembeni,uwezo hana.Dhaifu mno.
 
Mbona alishasema hatogombea tena Ubunge ?!!!
 
Mjomba "Kazi" kabla ya 2020 alisema asingegombea ubunge 2020 na baada ya kujiuzulu Usemaji " kwa hiari yake" alishasema hatagombea 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…