Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

Job aliteleza, akasahau ana maadui CHADEMA, wakaungaunga maneno yake spichi tatu tofauti is ionekane anamtukana mwenye nchi kwa kutumia lugha yao. Hili linasahemeka.

Paulo mie nilimzeleu pale alipowaambia Wachagga ukweli wao, dunia haiko hivo. Kwake akili ndogo changanya na madaraka kulewa, angemtii Askofu (alimpa nafasi, twice!!) aombe radhi yangeisha na angepanda chati. Ni sikio la kufa.

Generally, he was/is out of his depth. I mean, utaendaje madhabahuni umevaa kapelo na bodyguards?
 
Paul huyuhuyu wa kolomije? Wengi wamemzoea kwa jina la bashsheet
 
Aliondoka Lowasa na akasahaulika Huyo job na paul ni akina nani?

Labda kama wewe ndio Paul umeamua kujitabiria sawa.

Job na Paul sasa wamekuwa marafiki......wanakaa tenga moja😆😆😆
Mkuu mission aliyofanya Lowasa ya kuwafanya waliomchafua wamsafishe mwaka 2015, hakikuwa kidogo. Hivyo baada ya kusafishwa acha apumzike sasa.
 
Huyo anayekung'ata sikio naye kang'atwa

Huyo Jobu si alishagaaga na jimboni kwakwe??

Aombe msamaha ili asikatwe kwenye kuogombea ubunge wa kitu gani tena?
Bila shaka wewe hauijui siasa. Kabla ya 2015 kuna chama kilipanga kuwa kikishinda uraisi kitampeleka Lowasa jela kwa ufisadi. Lkn mwaka 2015 chama hicho hicho kikampitisha yule waliesema watampeleka jela (Lowasa) agombee uraisi.

So asilimia 90 au 95 ya maneno ya wanasiasa ni uongo mtupu mkuu. Don't be blind like that.
 
2026?

Binadamu anapanga yake wakati Mungu anamipango yake.
 
Acha uongo,

Speeker mstaafu hawezi gombea ubunge.

Pia huyo unayemwita mmiliki HATOGOMBEA!!
Siwezi kubishana na mtu uliejifunza siasa juzi.

Wakati spika mstaafu marehemu Sitta anachaguliwa kuwa Waziri wewe ulikuwa bado unanyonya. So hauwezi kuyajua haya.

Angalau ungesema labda hiyo 2026 kwa mipango ya Mungu wanaweza wasifikishe, hapo utaeleweka.
 
Tetesi ya kitapeli hii job alishaaga hatagombea tena ubunge kabla hata hajavuliwa kwa lazima nafasi aliyokuwa nayo.
 
Tetesi ya kitapeli hii job alishaaga hatagombea tena ubunge kabla hata hajavuliwa kwa lazima nafasi aliyokuwa nayo.
Narudia tena, wewe ni miongoni mwa watu wasioifahamu vizuri siasa. Hebu soma hapo chini 👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…