Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

Nimekusoma vizuri mkuu. Shukran kwa mchango πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inasemekana uncle Job amekuwa wakiomba msahama kimya kimya kupitia kwa watu waliokaribu na mmiliki huyo wa nchini, ili angalau asiwe miongoni mwa watakaokatwa katika kinyang'anyiro cha kupitishwa na chama kugombea ubunge jimboni kwake.
Akatubu kwa kumsingizia Bwana Yesu
 
Job namfagilia sana,ila Paul hapana,ana tamaa mno, aachwe aendelee na shughuli zake,amepata sawa,hakupata sawa.

Ila nimecheka sana,kumbe uteuzi sio swala la weledi,ni swala la kujipendekeza.Dah,ni nchi ya kufikirika hii.
 
Hakuna kitu KAMA HICHO NA HAKITAWEZEKANA
 
Job namfagilia sana,ila Paul hapana,ana tamaa mno, aachwe aendelee na shughuli zake,amepata sawa,hakupata sawa.

Ila nimecheka sana,kumbe uteuzi sio swala la weledi,ni swala la kujipendekeza.Dah,ni nchi ya kufikirika hii.
Naona Makonda anagundu, kila mtu anamlani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Namkubali sana makonda
 
Ndugai ameshatangaza kustaafu yaani kutogombea tena ubunge popote(Kongwa na Kawe). Ukiwa muongo, usiwe msahalifu.
 
Uongo mtupu, umbea utakuua, be serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…