Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

Ndugai ameshatangaza kustaafu yaani kutogombea tena ubunge popote(Kongwa na Kawe). Ukiwa muongo, usiwe msahalifu.
Wewe endelea kuamini maneno ya wanasiasa.

Mbunge wetu wa Kawe askofu Gwajima alituahidi kuwa akishinda atatupeleka Birmingham Uingereza.

Lkn mpaka leo hakuna mwana Kawe hata mmoja ambae ashakatiwa ticket ya ndege kuelekea Birmingham.
 
Ndiyo uone uzwazwa wa mleta mada.
Siwezi kubishana na mtu asiejua siasa wala kufuatilia mambo ya uongozi nchini.

Kwanza wakati spika mstaafu hayati Samwel Sitta anapewa uwaziri na Kikwete, wewe ulikuwa bado upo kijijini kwenu hauelewi chochote kuhusu yanayoendeleab nchini.

Sasa leo umesogea mjini, na kupata kasimu kadogo ka kufungua JF, eti unajifanya kunibishia mtoto wa mjini.
 
Back
Top Bottom