Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara Nyeti 2025 na Mgombea Urais 2030
Nitarudi kuchangia 2030 Mwenyezi Mungu akinijaalia uzima kushuhudia haya maajabu.
 
Kwanza Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,,
Pili nawasalimu Kwa jina la CCM,
Tatu karibu sana Brother,nakutana mara tatu Makonda,makonda,makonda.
Nchi ilikosa mtu mwenye neno lenye maamzi,na Zaid Mkoa wa Dar ilipoa sanaaaa,,
Narudia karibu sana Lumumba head office bro.

Kuna wakat inatakiwa uwe mkimya mbele za watu hata kama umewakosea au wamekukosea,ndicho ulichokifanya,uliwaacha Watanzanja waongee Yao ya moyoni mpaka walizike,na baada ya kumaliza kuongea hukujibu chochote,Ulikaa kimya kama ambavyo Mimi MAGAMBA MATATU hua nakaa kimya Kwa mwaka naweza toa Post Moja tu Kwa mwaka Jamii forum,au nisitoe kabisa,,hapa ndio unaukumbuka wimbo wa Diamond wenye verse "nimeambiwa niwe kimya "

Hilo umefaulu na hatimae mama kama mwenyekit wa Chama kaona kuwa ulitimiza wajibu wako kama kiongozi,ulitimiza wajibu wako kama mkuu wa mkoa toka Kwa mamlaka, maana ukiteuliwa umeteuliwa ni wajibu utimize mamla uliyopewa,japo wengi waliona kuwa ulifanya ndivyo sivyo, na wengi walifiliki kukukashifu ilihali wakijua ndo umepotezwa ndani ya Chama baada ya Jemedali Magu kutoka,

Sasa Chama kimekuamin na kujua ulitimiza wajibu toka Kwa mamlaka, Narudia WELCOME BRO,japo wanafiki utawaona wakirud kwako Kwa mgongo wa NYUMA,najua ww n smart thinker.

Nne,hapa msiponielewa mtanielewa baada ya Miaka 7 ijayo na mtarud na kunitafuta hii thread,,Huyu Makonda atakuwa waziri kwenye wizara nyeti mwaka 2025 na Zaid atagonbea urais 2030 na atakua the Next Magu,,kama hutaki nenda rumumba head office mvue cheo hiki alichopewa Leo..

Welcome bro..

Jion njema!
Sipati picha makonda akiwa Rais[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku ataingia na Farasi
Mara aje na bodaboda

Itakuwa nchi ya hekaheka si kidogo.
Atakavyokuwa anateua na kutumbua watu.. yaani nchi itakuwa na hekaheka mpya kila kukicha.
 
Kwa ouvu aliofanya hapana!
Atakwenda USA kweli! hahaaaa!
Mtu hana jina, kiongozi hana jina kamili!
 
CCM mnakoipeleka nchi hii ni kubaya mno.
 
Mwaka 2030 Makonda atakuwa anatumikia kifungo kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu aliyoyafanya. Nchi hii itakuwa ya hovyo kuwa na Rais aliyetatuliwa marinda
hahaa Babu yako ni marehemu pia alikuachia laaana mayala wewe jizi fisadi vyeti feki kahba shg wewe
 
Kuna tofauti Kati ya MAKAMU WA RAIS na RAIS MSAIDIZI, Makonda Ni Rais Msaidizi kwa sasa
 
Akiwa anakwenda kumuona Makonda ofisini kwake akumbuke kupakua hii clip.

Habari za Jumatano wakuu.
Naomba niulize swali kabla sijasahau.
Je, CCM, kinyago walichokichonga wenyewe kimeanza kuwatisha?

Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za nchini kwetu na kwa kiasi fulani, naona mambo yanakwenda ndivyo sivyo. Muda si mrefu tumepata kutangaziwa uteuzi wa Paul Makonda kama katibu wa Itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi. Kwanza naomba ku declare interest kabisaaa. Mimi sijawahi kumuelewa Makonda katika utendaji wake, si ki chama wala serikali. Akili yangu imekataa kabisa. Neno langu si sheria nami si lolote wala chochote katika chama na serikali lakini mimi kama raia wa kawaida, kwa maoni yangu, Makonda havimtoshi viatu vya uenezi. Hata alipokuwa Kamishna wa Mkoa wa Dar es Salaam (Mkuu wa Mkoa) alikua na tabia kama hizi anazofanya sasa.

Makonda amekuwa na tabia ya kuongea bila kujali maslahi, utu na vyeo vya watu wengine. Kwa jicho lingine ni mtu anayependa kutrend kwenye media.
Siku si nyingi sana tangu ateuliwe ameshakuwa gumzo kwa kauli na matendo yaliyo nje ya mipaka yake ya kazi.
Novemba 1 akiwa Dodoma, alimwita kamishna wa Mkoa, Rosemary Senyamule jukwaani huku akiamuri "kimbia hapa" kisha anampa maagizo. Kamishna yule anatoa majibu kuwa suala husika limeshafika kwa Makamu wa Rais, ila yeye akasema Kamishna wa Iringa na Dodoma wapigiane simu wapate majibu. Kisha anampigia Alfayo Kidata wa TRA anamhoji nakumpa maagizo. Huu ni mfano tu, lakini keshafanya vitu mfano wa haya kwa Anthony Mavunde, waziri wa madini na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Swali rahisi, kayapata wapi mamlaka haya? Kihulka Makonda ni kama vile hajui mipaka yake. Mimi siamini kama hajui, usikute ndio siasa yenyewe anatufanyia. Maana kwenye suala la Mavunde ni kama vile alikua anajua Mavunde atakwenda Geita kesho yake naye akampigia kumwambia afike Geita kesho. Ni kweli alikua hajui, au ndio siasa?

Mara kapanda punda, mara kapanda tipper, mara kaingia na ngamia......kwa maoni yangu mimi, Makonda anafanya maonesho kuliko kazi.

Sean.
 
Never Outshine Your Master (Masters).

......... Working in a hierarchical organisation, it’s tempting to flaunt one’s own merits in order to move up the career ladder. This strategy, however, doesn’t take into account the insecurities of those you’re trying to impress. These can be easily offended, both deliberately or inadvertently.

48 Laws Of Power Rule No. 1
 
Moderator uzi wangu mmekuja kuunganisha huku kwa sababu gani?
Basi mngekuwa mnatoa notification kwanza. Mada yangu inahusiana nini na Makonda kuwa Rais au waziri?
 
Never Outshine Your Master (Masters).

......... Working in a hierarchical organisation, it’s tempting to flaunt one’s own merits in order to move up the career ladder. This strategy, however, doesn’t take into account the insecurities of those you’re trying to impress. These can be easily offended, both deliberately or inadvertently.

48 Laws Of Power Rule No. 1
Hili limsemo ni la kijinga Sanaa.

Wewe kua master hakumaanishi sio mjinga ,unayepwaya na usiyefaa.

Mpumbavu hata uzeeni kwake huzeeka na na Upumbavu wake huohuo.
 
Kwa hiyo unataka kusema aliyemteua kapwaya na hafai? (Ninajua anafaa). Sasa unazungumziaje uamuzi wa kumteua ikiwa unaona kapwaya na hafai?
Ndio tunarudi tu hapo hapo,do not outshine your master because in doing so unaweza mtusi yeye.
Hili limsemo ni la kijinga Sanaa.

Wewe kua master hakumaanishi sio mjinga ,unayepwaya na usiyefaa.

Mpumbavu hata uzeeni kwake huzeeka na na Upumbavu wake huohuo.
 
Hili limsemo ni la kijinga Sanaa.

Wewe kua master hakumaanishi sio mjinga ,unayepwaya na usiyefaa.

Mpumbavu hata uzeeni kwake huzeeka na na Upumbavu wake huohuo.
Umejibu vizuri sana

Safi kabisa

Wengi huwa wanajidanganya kwa kuwa ni Wakubwa au wana vyeo vikubwa kwa Siku nyingi basi hujiona wanajua yote
 
Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na zaidi Mkoa wa Dar ulipoa sana. Narudia, karibu sana Lumumba head office bro.

Kuna wakati inatakiwa uwe mkimya mbele za watu hata kama umewakosea au wamekukosea, ndicho ulichokifanya. Uliwaacha Watanzanja waongee yao ya moyoni mpaka walizike, na baada ya kumaliza kuongea hukujibu chochote, ulikaa kimya kama ambavyo mimi Magamba Matatu huwa nakaa kimya, kwa mwaka naweza toa post moja tu kwa mwaka JamiiForums, au nisitoe kabisa. Hapa ndio unaukumbuka wimbo wa Diamond wenye verse "Nimeambiwa niwe kimya".

Hilo umefaulu na hatimaye mama kama Mwenyekiti wa Chama kaona kuwa ulitimiza wajibu wako kama Kiongozi, ulitimiza wajibu wako kama Mkuu wa Mkoa toka kwa mamlaka, maana ukiteuliwa umeteuliwa, ni wajibu utimize mamlaka uliyopewa. Japo wengi waliona kuwa ulifanya ndivyo sivyo, na wengi walifiliki kukukashifu ilihali wakijua ndio umepotezwa ndani ya chama baada ya Jemedali Magufuli kutoka,

Sasa Chama kimekuamini na kujua ulitimiza wajibu toka kwa mamlaka. Narudia, welcome bro, japo wanafiki utawaona wakirudi kwako kwa mgongo wa nyuma, najua wewe ni smart thinker.

Nne, hapa msiponielewa mtanielewa baada ya miaka 7 ijayo na mtarudi na kuitafuta hii thread. Huyu Makonda atakuwa Waziri kwenye Wizara Nyeti mwaka 2025 na zaidi atagombea Urais 2030 na atakuwa the next Magufuli. Kama hutaki nenda Lumumba Head Office, mvue cheo hiki alichopewa leo!

Welcome bro.

Jion njema!
Urais kwa elimu ipi
 
Huu mkeka hauendi kokote.

Umeondoa kabisa possibility ya chama kongwe kubadili mgombea!!

Tusubiri.
 
Makonda ni presidential material!!
Na matako haya kweli anaweza kuwa Rais huyu shoga?
Screenshot_20231111_190308_Google.jpg
 
Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na zaidi Mkoa wa Dar ulipoa sana. Narudia, karibu sana Lumumba head office bro.

Kuna wakati inatakiwa uwe mkimya mbele za watu hata kama umewakosea au wamekukosea, ndicho ulichokifanya. Uliwaacha Watanzanja waongee yao ya moyoni mpaka walizike, na baada ya kumaliza kuongea hukujibu chochote, ulikaa kimya kama ambavyo mimi Magamba Matatu huwa nakaa kimya, kwa mwaka naweza toa post moja tu kwa mwaka JamiiForums, au nisitoe kabisa. Hapa ndio unaukumbuka wimbo wa Diamond wenye verse "Nimeambiwa niwe kimya".

Hilo umefaulu na hatimaye mama kama Mwenyekiti wa Chama kaona kuwa ulitimiza wajibu wako kama Kiongozi, ulitimiza wajibu wako kama Mkuu wa Mkoa toka kwa mamlaka, maana ukiteuliwa umeteuliwa, ni wajibu utimize mamlaka uliyopewa. Japo wengi waliona kuwa ulifanya ndivyo sivyo, na wengi walifiliki kukukashifu ilihali wakijua ndio umepotezwa ndani ya chama baada ya Jemedali Magufuli kutoka,

Sasa Chama kimekuamini na kujua ulitimiza wajibu toka kwa mamlaka. Narudia, welcome bro, japo wanafiki utawaona wakirudi kwako kwa mgongo wa nyuma, najua wewe ni smart thinker.

Nne, hapa msiponielewa mtanielewa baada ya miaka 7 ijayo na mtarudi na kuitafuta hii thread. Huyu Makonda atakuwa Waziri kwenye Wizara Nyeti mwaka 2025 na zaidi atagombea Urais 2030 na atakuwa the next Magufuli. Kama hutaki nenda Lumumba Head Office, mvue cheo hiki alichopewa leo!

Welcome bro.

Jion njema!
Hizo ni ndoto za alinacha jombaa
 
Back
Top Bottom