Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Msukuma ana hekaheka sijawahi ona!
Kuna mdau aliniambia hili ndilo lilimfanya Mpango kupotea mwezi mzima.Novemba 1 akiwa Dodoma, alimwita kamishna wa Mkoa, Rosemary Senyamule jukwaani huku akiamuri "kimbia hapa" kisha anampa maagizo. Kamishna yule anatoa majibu kuwa suala husika limeshafika kwa Makamu wa Rais, ila yeye akasema Kamishna wa Iringa na Dodoma wapigiane simu wapate majibu.
Yule Mzee Mpango ameshachoka na 2025 hagombei, si mpenda makuu kabisa.Kuna mdau aliniambia hili ndilo lilimfanya Mpango kupotea mwezi mzima.
Aliamua kupumzika kijijini kwake Dodoma baada ya kuona mambo yanakwenda ndivyo sivyo.
Tuliambiwa alikuwa nje ya nchi, lakini hakuna aliyemwona uwanja wa ndege Dar au Dodoma siku ya kuondoka, wala siku ya kurudi nchini.
Hata kama mnaidharau TISS lakini haina akili ndogo kihvyo kukubali huo ujingaKwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na zaidi Mkoa wa Dar ulipoa sana. Narudia, karibu sana Lumumba head office bro.
Kuna wakati inatakiwa uwe mkimya mbele za watu hata kama umewakosea au wamekukosea, ndicho ulichokifanya. Uliwaacha Watanzanja waongee yao ya moyoni mpaka walizike, na baada ya kumaliza kuongea hukujibu chochote, ulikaa kimya kama ambavyo mimi Magamba Matatu huwa nakaa kimya, kwa mwaka naweza toa post moja tu kwa mwaka JamiiForums, au nisitoe kabisa. Hapa ndio unaukumbuka wimbo wa Diamond wenye verse "Nimeambiwa niwe kimya".
Hilo umefaulu na hatimaye mama kama Mwenyekiti wa Chama kaona kuwa ulitimiza wajibu wako kama Kiongozi, ulitimiza wajibu wako kama Mkuu wa Mkoa toka kwa mamlaka, maana ukiteuliwa umeteuliwa, ni wajibu utimize mamlaka uliyopewa. Japo wengi waliona kuwa ulifanya ndivyo sivyo, na wengi walifiliki kukukashifu ilihali wakijua ndio umepotezwa ndani ya chama baada ya Jemedali Magufuli kutoka,
Sasa Chama kimekuamini na kujua ulitimiza wajibu toka kwa mamlaka. Narudia, welcome bro, japo wanafiki utawaona wakirudi kwako kwa mgongo wa nyuma, najua wewe ni smart thinker.
Nne, hapa msiponielewa mtanielewa baada ya miaka 7 ijayo na mtarudi na kuitafuta hii thread. Huyu Makonda atakuwa Waziri kwenye Wizara Nyeti mwaka 2025 na zaidi atagombea Urais 2030 na atakuwa the next Magufuli. Kama hutaki nenda Lumumba Head Office, mvue cheo hiki alichopewa leo!
Welcome bro.
Jion njema!
MAGAMBA MATATU AMETUDHARAU sana. Yaani huyu shoga Makonda ambaye ni mfungwa mtarajiwa wa jinai dhidi ya binadamu ndiyo akawe Rais. ??Hata kama mnaidharau TISS lakini haina akili ndogo kihvyo kukubali huo ujinga
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sahihi. Huyu Jamaa huwa habahatishi.noted with thanks.
Binafsi sina wasiwasi na andiko lako ukiangalia heshima na umuhimu wa threads zako.
Lakini mkuu nakukumbusha ahadi yako kwetu kuwa utatoa mwelekeo wa nchi. Tafadhari usitusahau tunasubiri kwa hali na mali.
Ahsante!
Mie nahisi MAGAMBA MATATU ndiye bashite mwenyewe.MAGAMBA MATATU AMETUDHARAU sana. Yaani huyu shoga Makonda ambaye ni mfungwa mtarajiwa wa jinai dhidi ya binadamu ndiyo akawe Rais. ??
KweliMie nahisi MAGAMBA MATATU ndiye bashite mwenyewe.
Haendi mkuu [emoji41]Zile safari USA nk nk akitakiwa kwenda sijuwi itakuaje?!
akitakiwa na naniZile safari USA nk nk akitakiwa kwenda sijuwi itakuaje?!
Hata kama ungekuwa magamba tisa hilo halikubaliki.Na kwa Watanzania itakuwa ni dharau isiyona kifani .Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na zaidi Mkoa wa Dar ulipoa sana. Narudia, karibu sana Lumumba head office bro.