Wewe ni mtabiri au umeoteshwa ? Kwa Hiyo wewe mkuu ndiyo unajua kesho ya Tz ?
 
Kuna mdau aliniambia hili ndilo lilimfanya Mpango kupotea mwezi mzima.

Aliamua kupumzika kijijini kwake Dodoma baada ya kuona mambo yanakwenda ndivyo sivyo.

Tuliambiwa alikuwa nje ya nchi, lakini hakuna aliyemwona uwanja wa ndege Dar au Dodoma siku ya kuondoka, wala siku ya kurudi nchini.
 
Yule Mzee Mpango ameshachoka na 2025 hagombei, si mpenda makuu kabisa.
 
Hata kama mnaidharau TISS lakini haina akili ndogo kihvyo kukubali huo ujinga

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
noted with thanks.

Binafsi sina wasiwasi na andiko lako ukiangalia heshima na umuhimu wa threads zako.

Lakini mkuu nakukumbusha ahadi yako kwetu kuwa utatoa mwelekeo wa nchi. Tafadhari usitusahau tunasubiri kwa hali na mali.

Ahsante!
Sahihi. Huyu Jamaa huwa habahatishi.
 
Zile safari USA nk nk akitakiwa kwenda sijuwi itakuaje?!
 
Hata kama ungekuwa magamba tisa hilo halikubaliki.Na kwa Watanzania itakuwa ni dharau isiyona kifani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…