Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Fisi anaetumiwa kwenye usafiri anaitwa nhawa, hawa ni wakubwa na wanaweza kutumwa, kawaida hufugwa na wabibi na hutumiwa kuleta kitoweo kupeleka taarifa au kama usafiri, sikuhizi nhawa wameadimika kwani masharti ya kumtumikisha ni magumu vijana hawayawezi
Necessity yao imepungua. Back in the days yes, but today usafiri uko almost kila kona,mawasiliano yamefika almost kila mahali, mambo kama hayo yatabaki kuwa ni relics