Makonda nashauri utumie usafiri wa fisi Kanda ya Ziwa, utakuwa mwamba usiotikisika milele!


Necessity yao imepungua. Back in the days yes, but today usafiri uko almost kila kona,mawasiliano yamefika almost kila mahali, mambo kama hayo yatabaki kuwa ni relics
 
Daaah!!!!!!!!! hii Kali ya mwaka.
 
Atembelee Gambosh tumzawadie mmoja !!
 
Kweli wewe ni kambi ya fisi
 
Acha kabisa watanzania wameonyesha kumkubali mno
Watanzania wa wapi! Takwimu zako umeztoa wapi! Wanaccm wakimpenda haina uhusiano na vyama vngne. Pia ujue wana CCM hata wote wakimpenda n chini ya 0.06% ya waTz wte.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…