Makonda: Nimechoka kufanya mikutano peke yangu! Watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi?

..Bashite ndiye Mwenezi mjinga kuliko wote waliopata kushika nafasi hiyo katika CCM.

..CCM inaongoza peke yake, kuanzia ngazi ya mtaa mpaka taifa.

..Ni ukosefu wa hekima na maarifa kwa mwenezi wa CCM kuwaandama wapinzani badala ya kutetea rekodi ya chama chake.
 
Wajitokeze washindanishe hoja bwana ili wananchi tupate nafasi ya kuzichambua na kufanya maamuzi sahihi. Ana hoja, asikilizwe.

..Makonda ameshindwa kutetea chama na serikali.

..Kuwapiga vijembe wapinzani ni namna yake ya kukwepa kujibu maswali kuhusu utendaji mbovu wa Raisi Samia, serikali, na CCM kwa ujumla.
 
Pumzi imekata jogoo la shamba haliwiki Mjini.

Kakutana na Wenye Ccm yao.
 
Makonda pigilia msumari hapo hapo Watoa taarifa wamepoteana πŸ˜‚πŸ˜‚

Weka taarifa mezani
 
Wajitokeze washindanishe hoja bwana ili wananchi tupate nafasi ya kuzichambua na kufanya maamuzi sahihi. Ana hoja, asikilizwe.
Kushindana kwa hoja ccm walishashindwa, halafu Cha ajabu aliyekuwa anaendesha kikosi Cha kuteka na mauaji kipindi Cha dhalimu magu dhidi ya wapinzani ndio anataka Leo wajitokeze kushindana naye!

Asome upepo tu na akae kimya, ccm wameshazipotezea mvuto siasa hapa nchini kwa kushurutisha kukubalika, huku kizazi hiki kikiwa kimebadilika na hakiikubali tena ccm. Kama alitarajia kutakuwa na mpinzani wa kupoteza muda naye kwenye siasa za kipuuzi basi anajidanganya. Asuburi aone kama Kuna wapiga kura wa maana watajitokeza kwenye hizo chaguzi za kupuuzi, ambazo ccm wanalazimisha kuwa wachezaji na marefarii kwa wakati mmoja.
 
Makonda pigilia msumari hapo hapo Watoa taarifa wamepoteana πŸ˜‚πŸ˜‚

Weka taarifa mezani
Usichanganye kupoteana na kupuuza siasa za kishenzi. Wanachofanya ccm Sasa hivi ni kama wako disco la watu wa jinsia moja, hata zipigwe Ngoma Kali vipi, halinogi maana hakuna wa kumkumbatia. Kizazi kimechoka hilo chama la mazee.
 
Watoa taarifa mumepoteana

Hamna mgombea

Hamna Sera

Hamna lugha Moja

Dj kawapiga Cha Juu kwenye mgao wa asali 😁😁😁😁
 
Watoa taarifa mumepoteana

Hamna mgombea

Hamna Sera

Hamna lugha Moja

Dj kawapiga Cha Juu kwenye mgao wa asali 😁😁😁😁
Stukeni nyie, zama za siasa za kishamba zimeshapita. Wananchi tunawaona wapuuzi tu. Waulize wale waliokuwa na daftari la wapiga kura la majaribio walipoenda kama walipata mtu wa kuja kupoteza muda wake. Na kama huamini ngoja uone kwenye chaguzi zijazo, watajitokeza wanaccm wachache tu, ambao nao wataona ni kupoteza muda kushiriki zoezi lisilo na mvuto. Hapo ndio mtajua kizazi kimeshabadilika. Machafuko au mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mabadiliko dhidi ya hilo chama lenu la majizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…