othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Kama amechoka kufanya siasa basi amuombe aliyemteua apumzike.Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano!
Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke yake?
Anasema watoa taarifa kama wamekwama popote na kushindwa kufanya mikutano waseme wasaidiwe.
L
Unaa wa kiwango cha sgrπ€£Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano!
Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke yake?
Anasema watoa taarifa kama wamekwama popote na kushindwa kufanya mikutano waseme wasaidiwe.
L
Jamaa kwenye mshiko ni hatari sana. Enzi za EL alipiga cha juu akatutelekeza, sasa na kwenye asali anabwia peke yake!Dj kawapiga Cha Juu kwenye mgao wa asali
ππHuenda wamesusa kuona boss akiogelea kwenye bwawa la asali mwenyewe.
Wapinzani wanacho mfanyia Makonda na CCM yake ni kufuata ile kanuni ya;Usichanganye kupoteana na kupuuza siasa za kishenzi. Wanachofanya ccm Sasa hivi ni kama wako disco la watu wa jinsia moja, hata zipigwe Ngoma Kali vipi, halinogi maana hakuna wa kumkumbatia. Kizazi kimechoka hilo chama la mazee.
[emoji1][emoji1]Mbowe KANOGEWA NA BUYU LA ASALI
Anajilimbwasa na kujisonsomola.
Erythrocyte, timu pinzani mnatafutwa muingie uwanjani huko, mko wapi? Au nyie kazi yenu ni kukoromea kwenye mitandao tu ?!
Utendaji ni relative, unafuata kanuni za relativity, wakati mmoja anaona utendaji mbovu, mwingine anaona utendaji uliotukuka wenye 4R!. Ni kama tuu ganda la mua la jana...
P
Jamaa amepwaya......alikuja kwa Pupa ameondoka kwa Fedheha
Makonda afanye ziara ya kustukiza Tenesco.Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano!
Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke yake?
Anasema watoa taarifa kama wamekwama popote na kushindwa kufanya mikutano waseme wasaidiwe.
L
Makonda pigilia msumari hapo hapo Watoa taarifa wamepoteana ππ
Weka taarifa mezani
Watoa taarifa mumepoteana
Hamna mgombea
Hamna Sera
Hamna lugha Moja
Dj kawapiga Cha Juu kwenye mgao wa asali ππππ
Utendaji ni relative, unafuata kanuni za relativity, wakati mmoja anaona utendaji mbovu, mwingine anaona utendaji uliotukuka wenye 4R!. Ni kama tuu ganda la mua la jana...
P
Wamempiga chenga ya mwili, alitegemea watakua bize kuzozana nae wajumbe watu wabaya wamemlia ganzi kaishia kufanya drama zisizo na tija
Makonda afanye ziara ya kustukiza Tenesco.