Makonda: Nimechoka kufanya mikutano peke yangu! Watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi?

Yeye alifikiria akina Mjema na Shaka walipenda kuwa flop?. Kwa Sasa siasa Tanzania ni ngumu hasa kwa CCM maana Hali ni ngumu watu hawataki kiki za kijinga.
 
Naona wananchi wengi wakielekea kuachana na chaguzi za kuanzia 2024 mpaka 2025. Ni wanaccm na familia zao + watumishi wa umma tena kwa kushuritishwa ndio watakaoonekana kwenye vituo vya kupiga kula. Time will tell
 
Upinzani wamempa Makonda option mbili:

1. Afanye mikutano yake na kiki zake azoeleke awe wa wakawaida.

2. Akae kimya asahaulike kabisa awe flop Kama Mjema.

Achague moja kati ya hayo. Ndio maana analia ameachwa pekee yake.
 
Tuambie kwanza Ben Saanane ulimpeleka wapi? na kuna tuhuma uliongoza genge la kummiminia risasi Lissu - Jibu tuhuma hizo ili uwe huru.
 
Huyo mhalifu anayejiita Makonda, jela ndipo mahali anapostahili kuwa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila kweli hawa jamaa!
.
Lisu karudi
Lema karudi

Lakini wako kimya kama maji kwenye mtungi.

Ccm wajanja sana! Wamewapa uhuru wa kufanya yote waliyosema wananyimwa kufanya alafu wao wenyewe wameufyata
 
Hivi Tume ya uchaguzi NEC wameshatangaza tarehe ya kampeni?. Maana unadai hawana mgombea. Be serious kidogo. Nyie mmevunja sheria kwa kuanza kampeni mapema na mnataka wengine waige huo ujinga.
Upinzani chali Cha Mende ,mkigeuka nyuma Kuna Chipukizi mkiangalia Mbele kuna Makonda πŸ”₯πŸ”₯

Wakati mnazunguka mikoani na kuwaambia wafuasi wenu kwamba 2025 mtashika Dola Tume ilikuwa imetangaza tarehe ya kampeni? Dalili z kuchanganyikiwa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kashajichokea......mikutano mitano tu chaliii......aliingia Mjini kwa Pupa
Nyie chadomo ndio mumechoka au Makonda? Subiria kampeni back to back Mikoa 6 kuwaka moto.

Watoa taarifa zitoeni mapema Ili Makonda aje kuzifanyia kazi
 
Wana Imani na ccm Sasa ulitaka waje kwa Machadema wasio na ajenda Ili iwaje?

Ccm Ina Wanachama zaidi ya mil.15 hao sio Wananchi? 😁😁
 
Nyie chadomo ndio mumechoka au Makonda? Subiria kampeni back to back Mikoa 6 kuwaka moto.

Watoa taarifa zitoeni mapema Ili Makonda aje kuzifanyia kazi
Makonda kaja juzi tu sisi tumepiga Anga kwa miezi kadhaa mfululizo yeye wili.tu chalii.

Alikurupuka huyo wamempiga stop.

Anatafuta pa kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…