Kishindo cha Daudi....View attachment 2800177
Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika Sekretarieti yake .
Ameongeza kuwa Waziri yeyote atakayekaa zaidi ya Robo Mwaka (Miezi Minne) bila kufanya kazi, bila kuwa na Ripoti ya utekelezaji wa kazi za Wizara na Ilani ya chama hicho atachukuliwa hatua kwasababu sasa ni wakati wa kuwatumikia Wananchi.
hajui hata kazi za katibu mweneziSiyo kama , ni mgonjwa halisi
View attachment 2800177
Akizungumza katika hafla ya kukaribishwa jijini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema kutokana na Serikali kutenga Bajeti kwaajili ya miradi ya Maendeleo kwaajili ya Wananchi, Chama kinawataka Mawaziri kuwasilisha Ripoti ya kazi zao katika Sekretarieti yake .
Ameongeza kuwa Waziri yeyote atakayekaa zaidi ya Robo Mwaka (Miezi Minne) bila kufanya kazi, bila kuwa na Ripoti ya utekelezaji wa kazi za Wizara na Ilani ya chama hicho atachukuliwa hatua kwasababu sasa ni wakati wa kuwatumikia Wananchi.
Ndiyo! Hata Nape yuko chini ya Makonda.Kwa hiyo, sasa hivi Makonda ni boss wa Mawaziri wote!
Hivi zile bato au oparesheni za Makonda mwenye kumbukumbu anipe mrejesho wa mafanikio au nimbwembwe kama hili tamko?
1. Oparesheni Madawa ya kulevya
2.Oparesheni usafi wajiji LA Dar
3.Oparesheni Mashoga
4.Oparesheni usije Dar kutoka mikoani kama huna shughuli mjini
5.Oparesheni kuwinda baba walitelekeza watoto
6.Oparesheni kukamata wanaume nakupima tenzi dume kwa nguvu.
Hii inaitwa kupatwa kwa kazi.Kazi imepata au imepatwa?
Msomaji wa hiyo ripoti mwenyewe simuoni. Waziri hata akipeleka kabrasha lenye nyimbo za Zuchu Makonda na timu yake watalipokea na kulikubali. Zero ni zero tu.
Kama zuzu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Bado hamjasemaKweli tabia ni ngozi, jamaa kama mgonjwq vile
Kwa taarifa yako zote zilipata mafanikio makubwa sanaHivi zile bato au oparesheni za Makonda mwenye kumbukumbu anipe mrejesho wa mafanikio au nimbwembwe kama hili tamko?
1. Oparesheni Madawa ya kulevya
2.Oparesheni usafi wajiji LA Dar
3.Oparesheni Mashoga
4.Oparesheni usije Dar kutoka mikoani kama huna shughuli mjini
5.Oparesheni kuwinda baba walitelekeza watoto
6.Oparesheni kukamata wanaume nakupima tenzi dume kwa nguvu.
Kichama huyo ni boss Wao 😂😂Kwa hiyo, sasa hivi Makonda ni boss wa Mawaziri wote! Lazima wawajibike kwake!!
Kwenye chama kwa mwenyeketi,karibu na wengineo au unajitoa ufahamu mzeeKwa hiyo, sasa hivi Makonda ni boss wa Mawaziri wote! Lazima wawajibike kwake!!