Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

Mkuu unaeleweka vizuri sana tatizo wachangiaji wengi wanatoa maoni kwa sababu ya chuki walizonazo kwa makonda anachokizungumza makonda kipo sahihi.
 
Hicho anachokizungumza unataka kusema amekitoa wapi? Kichwani? Hayo uliyataja hapo kipi makonda hajakifuata! ?

Wewe ni CCM? CCM inautaratibu wake haiendeshwi kienyeji hadi unaona kasema hayo ujue Chama kimemtuma otherwise katibu mkuu atoke hadharani aseme sijamtuma
 
anashughullikia maswala ya msingi ya itikadi na sera ZA chama 😂
View attachment 2800292
Ahsante Mungu akubariki, sasa angalia mambo anayoyafanya lofa. Huyu ataharibu mazuri yote ya mama, ataharibu hata mahusiano yetu na nchi za nje. Huyu mtu km siyo nguvu ya giza inamsumbua basi ni jinga lisiloelezeka. Angalia mapokezi linalofanyiwa, kweli Makonda ni zuzu.
 
Huyu bato yake na Nape bado mbichi lazima atamg'owa bila ganzi
 
Makomba safi sana,kilichobaki sasa atoe maagizo mikopo yote iwe inapitia CCM waangalie kama inakuja kutekeleza ilani ya uchaguzi.Kwa maana nyingine CCM iingie jikoni kabisa kutekeleza miradi badala ya Serikali (badala ya hands off, eyes on,iwe hands on, eyes on)
 
Kwa hiyo, sasa hivi Makonda ni boss wa Mawaziri wote! Lazima wawajibike kwake!!
Kumbuka mawaziri wale Wana kofia mbili chamani na serikalini ...
Kwenye chama yes yeye ni bosi kwao Ila serikalini Hana mamlaka ndiyo maana ameweka bayana wawasilishe taarifa kwenye Secretariat ya chama
 
Mkuu unaeleweka vizuri sana tatizo wachangiaji wengi wanatoa maoni kwa sababu ya chuki walizonazo kwa makonda anachokizungumza makonda kipo sahihi.
Mkuu mimi sioni sababu ya kubishania maneno au kauli za Makonda ni kujichosha tu ameagizwa na Chama chake mpaka sasa hivi hakuna kanusho la chama chake TUNAPATA MASHAKA YA NINI SASA??

Anayeongea ni Mwenezi wa Ccm Wanaolekezwa kupeleka report ni mawaziri wanaotokana na Ccm (ubunge) report wapelekeke ktk vikao vyao vya Chama (sekretarieti)

Kesho makonda akija kutangaza marudio ya uchaguzi jimbo flani, or majina ya watia Nia mybe ubunge or wenyeviti wa halmshauri ITAKUWA NI AJENDA PIA YA KUIJADILI?

Mwenezi anakuja kuongea yale ya ndani waliyokubaliana or kuelekezwa
Hayo maazimo ni ya chama chake sio ya kwake
Ifike muda watu wakuabali huyo ndio katibu Mwenezi wa Chama cha mapinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…