Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

nishasema hapa duniani hakuna binadamu mwenye akili ndogo km huyu bwana. Hajui hata majukumu yake, ni km comedian flani. Atamharibia mama...
Wewe ndo hujui kiutaratibu mawaziri au serikali ni sawa na muuzaj duka. Mmiliki wa duka ni CCM. Kutoa taarifa ni uenezi wa siasa na propaganda.

So anacho fanya ni kufuatilia utendaji wa serikali. Ili iwajibike kwa wananchi. Lakini ni kufanya uenezi wake kwa wananchi. Hili ni jambo la kawaida na la kikanuni.

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
pamoja na yote, Makond yuko sawa.

Tunapaswa kuishi kwa kuwaasses watendaji wetu kila robo mwaka kupitia report zao na mabosi zao kupima matokeo.

Hata Rais anapaswa kupima watendaji wake kila robo na kutumbua wale walio nje ya target walizopewa, hii inapaswa kuendelea mpaka chini huko ngazi za vijiji.
 
Watanzania ukitaka kuwaficha jambo liweke kwenye maandishi tu,wengi wanabwabwaja tu lakini hawajui ata majukumu ya Katibu Mwenezi wanadhani ni sawa na Afisa habari wa Yanga au Simba kumbe ni miongoni mwa vigogo wa CCM kwenye rank za maamuzi.Mtu anaingia mpaka kamati kuu,sasa huyo ni mtu mdogo!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku atawaita mawaziri wote na kuomba KPI zao 😁 😁 Kazi ya Waziri Mkuu na Naibu wake jamaa kaivagamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…