Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

vijana wengi wamebaki kuwa wa kiume na si wanaume ndomana hawawezi kumudu familia ..........over[emoji848][emoji2827]
 
Unapuyanga yote haya wakati kila kukicha unalizwa na mkeo ndani hadi unajuta kumuoa na unaogopa kusema. Ndo nyie tunawakuta mmejinyonga. #KATAANDOA
Hahahah inabidi nicheke tuu.. Uliza wanaonifahamu physically watakwambia
 
Mwanamke Na Shetani ndio Chanzo cha Dhambi wao Tabja zao zinafanana Hawaridhik na Mipaka waliyonayo. Kataa Kuoa ila Akija Geto ishi nae Akiondoka Vuta Mwingine.
Nilikuwa sahihi nilipotaja geto [emoji3]
 
Dunia imebadilika , zile thinking ways za miaka ya 70 itafikia kipindi zitawatoka tu ,ni suala la muda .Kama sio wewe ni mtoto wako .
Suala la kuona ndoa ndio umemaliza maisha ,
Unafeli sana We mzee
Asante kwa kushiriki mjadala kijana wangu anatarajia kuoa hivi karibuni
 
Ahahahahahah Mshana anwzingua anaforce kua positive kwenye kila jambo, Mambo zingine aga tu hazibadilishwi ila zishapitwa na Muda.
Hivi sasa kama niko kwenye ndoa na nina vijana ambao wamevutiwa na ndoa zetu wakubwa wao nitaanzaje kupinga hilo swala? Anyway hii sio mada yangu ya kwanza kuhusu ndoa na sifosi kuwa positive soma hii

Wanandoa wengi hawapendani
 
Mnaoa bila kushaurika
Mnaoa shepu
Mnaoa uchumba wa mwaka mmoja ama miezi sita.. Ndoa si kitu cha kukimbilia hata siku moja
 
Afu haya Mambo yameanza Enzi za akina Yesu na Paulo baada ya Kuona Moto wa Akina Samson hauzimiki. Bora ufunge ndoa na Pete ya Utajiri ila sio hawa Ng'ombe.
Bora ufunge ndoa na Pete ya Utajiri ila sio hawa Ng'ombe.[emoji3064][emoji848] Duh!
 
min -me kwa heshima yako nitaandika mada nyingine ya changamoto wanazopitia vijana kwenye ndoa na nitaku tag, maana mada hii nimeonekana kama nawakandamiza
 
Ndoa ni mbaya kama uliingia kwa mguu wa kushoto. Yaani uliingia kwa msukumo wa nyege ukadhani ndio upendo.
Wengi hawana elimu ya kutosha kuhusu saikolojia ya ndoa, wengi wanaingia kwenye ndoa kwa matarajio ya nje zaidi kuliko ndani
 
Ndoa ni spiritual zaidi kuliko material things
Upo sahihi nmekataa hizo za kisheria ila ninayangu ya spiritual zaidi akizingua sheria hazita nibana nikitaka kupiga chini, kukataa ndoa ni mwarubaini wakukomesha haki sawa
 
min -me kwa heshima yako nitaandika mada nyingine ya changamoto wanazopitia vijana kwenye ndoa na nitaku tag, maana mada hii nimeonekana kama nawakandamiza
Nitaheshimu hilo mkuu , sio kwamba tuna nia mbaya tunakataa ndoa kama fimbo ya kuwarudisha kwenye mstari hawa dada zetu wamejisahau sana , na fimbo yetu ya moto ni ndoa kwa sababu ni ktu wanakipenda mno.
 
Umuhimu na faida ya kuwa kwenye ndoa hii ni mada tofauti na mada hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…