Sawa single parent, je maadili yao yapoje, je uzinzi ni mfano wa kuigwa?.Kwahiyo ukioa unakuwa kiongozi Bora [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Akili za kipuuzi hizi
Kawasome wakina isack Newtown na wenzake Kwa waliyoyafanya kwenye dunia bila kuwa na hizo ndoa.
Elon musk Kwa mambo ambayo ameyafanya duniani wewe na kizazi chako hamuwez kuyafanya hata baada ya miaka 2000 ijayo na Hana ndoa.
Christiano ronaldo Hana ndoa na ni moja ya wachezaji waliofanikiwa kwenye soka.
Ulivyo mjinga na mbumbumbu unasema waliooa huwa Bora.
Mwigulu nchemba kaoa Ila kila siku anawawekea tozo maisha yanakuwa magumu Hadi akili zinawakaa sawa.
Diamond hajaoa Ila ana maisha mazuri kushinda wewe ulieoa