Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

Sawa single parent, je maadili yao yapoje, je uzinzi ni mfano wa kuigwa?.
 
Watu wameacha dini, tutegemee mengi zaidi ikiwemo kutokuwa tofauti na wanyama. Dini ni Muongozo mwanadamu aishi vipi vyema duniani
 
Ndio maana wazee wetu walitumia Mfumo Dume..

Na "polygamy" walitumia sana wazee wetu ili mke mmoja akizingua anahamia kwa mwingine. Hii ilikua inawatia adabu wanawake wakae kwa heshima na kutulia.

Sio sasa wanapinga mfumo dume, wanapinga polygamy halafu wanataka mwanaume awe mtii na mnyenyekevu kwa mwanamke mmoja haijalishi ni pasua kichwa kiasi gani kwa kigezo eti "Uvumilivu"...[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Umenena mkuu [emoji817]

Tatizo si ndoa, Tatizo ni sheria za ndoa.

Mababu zetu walimudu ndoa kwa sababu walitumia Mfumo Dume.

Sio sasa hawa wanawake wanataka "Fifty Fifty" na kutaka kuwa sawa na wanaume.
 
Nitaheshimu hilo mkuu , sio kwamba tuna nia mbaya tunakataa ndoa kama fimbo ya kuwarudisha kwenye mstari hawa dada zetu wamejisahau sana , na fimbo yetu ya moto ni ndoa kwa sababu ni ktu wanakipenda mno.
Asante sana nitaweka jioni ama kesho
 
Key points ni kwamba KILA mmoja anaoa kwa sababu zisizofanana na mwingine.
Wengi kwa ajili ya
1.ngono
2.heshuma
3.Kuzaa watoto wote na mama mmoja
4.Mlinzi wa mali
5.Mlinzi wa nyumba yako
6.Katibu au msaidizi wa mambo yako
7
Hizi tofauti ndizo ufanya tuwe tofauti juu ya mitazamo ya ndoa.
 
Uoga wa maisha..wanaume nyoronyoro na kupenda kulelewa ndo maana mi janaume mingi siku hizi ni mishoga
 
Watu kwa sababu wamekataa dini haya mbona ni madogo kuliko yajayo.
Dini imeweka miongozo yote mwanadamu aishije.
We huoni wazungu ni kama wanyama siku hizi
Mzungu aliyekuletea wewe dini ina maana haijui iyo miongozo?

Waafrika hata dini mliletewa na hao hao wazungu.

Halafu sa hizi mnajiona kwamba ninyi ndio mnaifahamu sana hiyo dini kuliko hao wazungu walio waletea....

Mababu zetu walimudu ndoa na walikuwa na miongozo yao ya ndoa hasa "mfumo dume" huu ndio ulitia adabu wanawake.
 
Shida kizazi cha SAsa hakina elimu ya kutosha kuhusu saikolojia ya ndoa.
Dini na mila ziliposema no sex before marriage waliyaona haya. Shida ya wanadamu ni kujifanya wajuaji kuliko mafundisho ya dini. Mungu alipoweka asili ya kitu alijua maana yake KWA faida ya wanadamu.
Ukifanya ngono na mtu mnaunganisha nafsi, ukiungana nafsi na mtu mnakua mateja wa mapenzi. Mkiwa mateja huwezi ona tabia mbaya za mtu na hata ukiambiwa utawaita wanafiki wanawaonea wivu, uteja unaisha kwenye ndoa ndani ya miezi 3 au 6 unamuona wa kawaida ndipo unaziona tabia, unabakia niliambiwa kifuatacho ni majuto na talaka. Watu wanaoa kwa mapenzi na sio upendo wameacha kanuni za asili za kuoana. Huwezi kwepa asili ukabaki salama.
 
Uoga wa maisha..wanaume nyoronyoro na kupenda kulelewa ndo maana mi janaume mingi siku hizi ni mishoga
Hii mada najua tu lazima wanawake waiunge mkono kwa 100% sababu wanajua faida wanazozipata waki ingia kwenye ndoa...

Hata wanawake mashoga(Lesbians) wapo vilevile usiegemee kwa wanaume tu....[emoji1]
 
Kizazi cha zamani cha wazungu kilifata miongozo ya dini na sio kizazi cha SAsa we uoni kipo shimoni.
 
Nitaoa ila tukishindwana kabisa kabisa nitaacha halafu nitaoa tena na tena.

Nachojaribunl kulinda ni afya yangu ya akili tu.

Maana hata usingo unaweza kutetereka kiakili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…