Credit
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 1,490
- 1,881
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maendeleo yanakuja kwa watu kujituma kufanya kazi. Rais anaamini ya kwamba maendeleo yanapatikana kwa kukopa.
Mawazo yatolewe kwenye vikao halali na kwa lugha za staha18. Rais anaamini kutoa mawazo tofauti kwa kipindi chake ni kumdharau
we ndo kiazi, irejee post namba 39 uloquote.We kweli kichwa kiazi sana hebu rejwa post niliyi ijibu mimi ilisemaje tusichoshane
Shangaa na wewe. Imenibidi nirudi niangalie Uzi WA lini. Kama tutafika 2025 tutakuwa tumechakaa vinginevyo tuhamie Zenji.Ndio kwanza ni siku ya 5 ya mwaka 2022
Mie nimejifunza kwamba "ccm ni ile ile"Yafuatayo ndio nimejifunza kutokana na hotuba ya Jana.
1. Rais amekasirishwa na maoni yaliyotolewa na speaker Ndugai kuhusu mikopo.
2. Rais amemshambulia speaker Ndugai at individual capacity na sio Kama speaker kwenye maoni kuhusu mikopo.
3. Rais amehaidi kukopa zaidi na mpaka Sasa wamepata commitment ya trillion 7 Kama mkopo nafuu.
4. Mikopo anayochukua Rais Samiah ni ya masharti nafuu, kwa maana hayana riba.
5. Serikali kwa Sasa inakopa ili ikalipe madeni ambayo yameanza kumature.
6. Rais anaamini ya kwamba maendeleo yanapatikana kwa kukopa.
7. Rais anaamini yeye siyo Rais wa Kwanza kukopa na kwamba huko nyuma tuliwahi kukopa sana mpaka tukaitwa high indebtet country.
8. Rais anaamini kwamba mkopo wake ndio Bora kuliko mikopo mingine yote ambayo awamu zingine zilizopita zilikopa.
9. Rais amekiri tozo ni kidogo haziwezi kuleta maendeleo, hivyo tutakopa na kutoza kwa wakati mmoja.
10. Rais anaamini kwamba wananchi wameridhika na tozo hivyo tozo zitaendelea sana.
11. Rais amekiri ya kwamba Tanzania sio ya kwanza kutoza hata nchi kubwa huko zina tozo nyingi.
12. Rais anaamini adui yake mkubwa yupo ndani ya CCM na sio upinzani.
13. Rais hafanyi maendeleo kwa ajili ya mwaka 2025, Bali kwa ajili ya Watanzania.
14. Rais anaamini kuna baadhi ya mawaziri wanafanya kazi kwa ajili ya 2025, na anania ya kuwaondoa.
15. Rais anaamini wanaompinga kwa Sasa Ni wale waliokuwa wanamdharau kwamba hataweza majukumu ya kuleta maendeleo Sasa wanashangaa anafanya maendeleo.
16. Mwisho, nilichojifunza ni kwamba kiongozi yeyote ndani ya CCM atakaye toa maoni tofauti kwenye suala la mikopo atachukuliwa ana malengo ya kumpinga Rais na yupo kwenye kundi la maadui linalotaka urais.
Wewe Kama mwanajamii forum ulijifunza Jambo gani kutoka kwenye hotuba ya Rais Jana?.
Yani jinamizi²Na hii ni very important, ile mikopo ya lile jinamizi ilikuwa ni ya muda mfupi na yenye riba kubwa sana.
Yes, tena mtoto wa Popobawa.Yani jinamizi²
Nilichojifunza mimi hii dunia ni ya Mungu,hamuwezi kumpiga marisasi mwenzenu kama mbwa mkabaki salama mwenyezi Mungu alimponya lissu MAKUSUDI ili ashuhudie watesi wake wakihadhilika!!
Maktaba yetu ya wapi!?😀😀Mkuu hujajifunza. Umetoa maktaba yenu.
🤣🤣🤣🤣🤣Hujaandika ulichojifunza ila umeelezea orodha ya uliyoyasikia
Wakati hayo yanafanyika huyo mama yako muimba taarabu alikuwa wapi katika serikali hii?Nyakat za mwendambingun watu wawil au watatu wanajichimbia ikulu na kuamua kukopa mihela kimya kimya halafu mzee akitoka barabarani anawaaminisha watu nchi ina mihela mingi na hawakopi.
Ameondoka kaliacha linchi halina kitu na mamirad kibao+miden mikubwa mikubwa...tena nadhan hyo vp ndiye anapaswa tumning'inize coz ndiy alikuwa anashirikiana na mzee kutupiga mchanga machoni. Kibaya sana mama naye akakubal kirahis tu huyo m-kigoma awe vice wake.
Leo wale walioshirikiana na mwendazake ndiy wanataka kumsulubu mama,ashindwe kutekeleza mamirad yale and then watujie na porojo za "Mama amefeli'....hapana,na tuseme hapana wamwache mama afanye kaz..over!
Kiongozi wa unafiki wacha wamfanyie unafikiHii nchi inapaswa iongwezwe kibabe kibabe kama Hayati JPM.....kinyume cha hapo wataisumbua sana awamu ya 6.
awamu ya 5 watu wote walikuwa na heshima lkn sasa kila mtu kaota masharubu.
Tatizo lako na wa aina yako ni kuwa rais is infallible!Wewe Kama mwanajamii forum ulijifunza Jambo gani kutoka kwenye hotuba ya Rais Jana?