Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

The fall of every great man, is a woman
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrejesho wa dada uliyechukuwa number yake vipi ??
Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Habari wana jf, Mimi Nina ushauri tu kea anaetaka kujiunga na qnet ajipange. Wanakudanganya kuwa ukijiunga unatajirika kea muda mfupi lakini Mimi Nina ushahidi mtu wangu wa karibu alijiunga uko huu mwaka wa tatu hakuna Cha utajiri Wala nini ndo Kwanza anasotaa balaa maisha magumu, walimdanganya mpaka akaacha kazi yake ya maana sasahvi anaishu maisha magumu Sana ila bado kakomaa nayo sijui wamemloga [emoji1751]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaahaaaa Goodmorning partner msitutanie nyie mkija kudikilizwa huwa hamuwaachi watu waamue mnakomaa nao mm wamekomaa na mm sitaki mwaka mzima wananifuata tu
 
😂😂
 
Good morning.....
Mwaka 2019 unakwisha huo, wale watu walioaminishwa kuwa watakuwa mabilionea haraka haraka kupitia Qnet kwa miezi michache au ndani ya mwaka, sasa jitokezeni hadharani au mjitathamini namna ya kurudishiwa fedha zenu (kama inawezekana!) katika mwaka 2020.

Hakuna njia rahisi ya kuweza kufanikiwa.
 
Hahaaaaaaa, Goodmorning mkataa utajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah GOODMORNING JIRANI WA BILLIONAIRE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa niwasalimu kwa hisani ya QNet, good morning millionaires.

Pili, nafikiri kuna nyuzi tofauti tofauti zinazozungumzia hii nliyoaminishwa kuwa ni biashara ambayo inaweza kukufanya kuwa millionaire ndani ya miaka 5 au chini ya hapo.

Nimewashuhudia rafiki zangu wa karibu wakijiunga kwenye huu utapeli, ikiwepo 2017 rafiki angu mmoja mhitimu shahada ya uhandisi udsm, na hapa karibuni 2019 rafiki yangu wa dhati lieutenant wa jeshi kitu kilichonishangaza na kunifanya nirudi kuandika huu uzi.

Binafsi sijawahi amini utajiri kupitia network marketing, rafiki angu amepotea na kapoteza wengi kwenye huu utapeli, nasikitika sana nguvu yao kubwa waliyowekeza kwenye huu utapeli.

Tusaidieni wanaoielewa vizuri hii biashara pengine ni nzuri tujuzeni wakuu.
 
Jana na leo wako GEITA wanaonyesha maghorofa na magari na familia zao zilivyonona.
 
Tuache wajinga waendelee kupigwa.
Wajinga wapo wengi sana haijalishi wamesoma mpaka chuo kikuu, wakitafuta shortcut ya kufanikiwa, basi QNET itawatafuna vizuri.
 
Binafsi sijawahi amini utajiri kupitia network marketing, rafiki angu amepotea na kapoteza wengi kwenye huu utapeli...
Huu Utapeli..yeah, that's right.

Tusaidieni wanaoielewa vizuri hii biashara pengine ni nzuri tujuzeni wakuu.
Unasemaje? You just said hapo juu kwamba huu ni utapeli. Sasa nani akujuze? Why don't you start asking your close buddies ambao tayati wapo ndani na wanaenjoy mema ya huko? Utapata info za uhakika kwao
 
wajinga ndio waliwao, wacha waendelee kupigwa kwa kutaka mtelezo
 
Wapo mikoani wanaliza watu mdogo mdogo
Goodmorning
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…