Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Halafu hao jamaa wanaokushawishi wamechoka wananuka vumbi. Si wangeanza wao kuwa matajiri ila wanatuonyesha mapicha ya vijana wasiojulikana wanaendesha Range Rover za baba zao
 
mi nashangaa mpaka mtu unaingizwa mkenge unakodoa tu

mi kuna jamaa alinipeleka makao yao eti twend nikuonyeshe biashara ya kufanya

Nilivofika tu nikajua huu ni utopolo
nikasepa zangu hawajaniona tena wala kunitafuta
 
Kuna rafiki yangu alinishawishi nikamdelete kila kitu jinga yule
 
Wapenda vya bure acha wapigwe. Yaani karne hii bado kuna mjinga badala ya kufungua biashara yake hata ya vitumbua anaenda kumpatia mwenzake pesa eti yeye atapata faida kwa kuleta mtu mwingine. Huu ni upumbavu wa kiwango cha lami. Na mimi nasema serikali isiingilie kati wapigwe vizuri hadi akili ikae sawa. Yaani serikali iache kuangalia mahitaji ya msingi ianze kusimamia hela za watu binafsi mifukoni? Hii haikubaliki
 
Nimemsikia DPP akisema walio ibiwa fedha na kampuni ya QNET hawastahili kurejeshewa fedha zao pamoja na kampuni hiyo kushtakiwa kwa kuibia wananchi.
Chama cha CCM kinasema chenyewe ni cha kutetea wanyonge, jee katika hili kinakauli gani kwani kumbukumbu zinaonyesha viongozi wa Serikali ndio walio zindua shughuli za kampuni na kuhakikishia wananchi kuwa fedha zao ziko salama, iweje Leo wanawakana? Jee Serikali ya CCM inaendeshwa kwa ULAGHAI kwa raia wake?
IMG_20201218_180425.jpg
 
View attachment 1653443

Subiri uambiwe aliyeshiriki ufunguzi hakuwa waziri wa fedha
 
Nimemsikia DPP akisema walio ibiwa fedha na kampuni ya QNET hawastahili kurejeshewa fedha zao pamoja na kampuni hiyo kushtakiwa kwa kuibia wananchi.
Chama cha CCM kinasema chenyewe ni cha kutetea wanyonge, jee katika hili kinakauli gani kwani kumbukumbu zinaonyesha viongozi wa Serikali ndio walio zindua shughuli za kampuni na kuhakikishia wananchi kuwa fedha zao ziko salama, iweje Leo wanawakana? Jee Serikali ya CCM inaendeshwa kwa ULAGHAI kwa raia wake?
View attachment 1653443
Ona sasa.....kuna mambo ya kijinga mengi sana Tanzania
 
Nimemsikia DPP akisema walio ibiwa fedha na kampuni ya QNET hawastahili kurejeshewa fedha zao pamoja na kampuni hiyo kushtakiwa kwa kuibia wananchi.
Chama cha CCM kinasema chenyewe ni cha kutetea wanyonge, jee katika hili kinakauli gani kwani kumbukumbu zinaonyesha viongozi wa Serikali ndio walio zindua shughuli za kampuni na kuhakikishia wananchi kuwa fedha zao ziko salama, iweje Leo wanawakana? Jee Serikali ya CCM inaendeshwa kwa ULAGHAI kwa raia wake?
View attachment 1653443
hahahahh wamekupiga na wewe!!😂😂😂
 
Mimi ndio kwanza naisikia hii kampuni na najaribu kuwasiliana na mr google kujua zaidi kuhusu hii kampuni. Hata hivyo kwa kusoma maelezo ya DPP wa Tanzania naona kama aidha amejichanganya au anawachanganya watanzania.

Nanukuu "Katika maelezo yake, Mganga alisema urejeshwaji wa fedha hizo ni kosa kisheria kwa sababu biashara iliyokuwa inafanywa na kampuni hiyo ni upatu haramu."

Masuali niliyokuwa nayo kichwani mfano ni kwa nini kama biashara ya kampuni hii inatambulika kama upatau haramu nchini kwetu ni kwa nini walipatiwa leseni ya kuweza kufungua tawi na kufanya biashara nchini? Ikiwa hii biashara ni haramu nchini ni kwa nini viongozi wa nchi walitowa baraka zao kwa kushiriki ufunguzi wake?

Hivi viongozi wetu hawajui maana ya seal of approval? Kiongozi anaposhiriki zoezi kama hili la ufunguzi wa kampuni huwa anawakilishi seriklali na anaashiria kuwa biashara inayofunguliwa ni halali kwa sheria za nchi. Kiongozi anaposhiriki katika jambo kama ufunguzi wa biashara au jambo lolote lile huwa anatakiwa afanye utafiti wa kutosha ili kuepuka kujikuta katika hali ya utata? Nakumbuka Mkapa alikataa kufungua duka la magari ya BMW kwa sababu tu initials zake zinafanana.
 
Back
Top Bottom