Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,276
- 12,780
Watanzania wanapenda shortcut ndio maana wanapigwa helaHata msimeje...wajinga hawaishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wanapenda shortcut ndio maana wanapigwa helaHata msimeje...wajinga hawaishi
Sa hii tuna ongea kuna lifala lina zaliwaHata msimeje...wajinga hawaishi
Nimemsikia DPP akisema walio ibiwa fedha na kampuni ya QNET hawastahili kurejeshewa fedha zao pamoja na kampuni hiyo kushtakiwa kwa kuibia wananchi.
Chama cha CCM kinasema chenyewe ni cha kutetea wanyonge, jee katika hili kinakauli gani kwani kumbukumbu zinaonyesha viongozi wa Serikali ndio walio zindua shughuli za kampuni na kuhakikishia wananchi kuwa fedha zao ziko salama, iweje Leo wanawakana? Jee Serikali ya CCM inaendeshwa kwa ULAGHAI kwa raia wake?
View attachment 1653443
Kisha Serikali ilichukua hatua gani?Subiri uambiwe aliyeshiriki ufunguzi hakuwa waziri wa fedha
Ona sasa.....kuna mambo ya kijinga mengi sana TanzaniaNimemsikia DPP akisema walio ibiwa fedha na kampuni ya QNET hawastahili kurejeshewa fedha zao pamoja na kampuni hiyo kushtakiwa kwa kuibia wananchi.
Chama cha CCM kinasema chenyewe ni cha kutetea wanyonge, jee katika hili kinakauli gani kwani kumbukumbu zinaonyesha viongozi wa Serikali ndio walio zindua shughuli za kampuni na kuhakikishia wananchi kuwa fedha zao ziko salama, iweje Leo wanawakana? Jee Serikali ya CCM inaendeshwa kwa ULAGHAI kwa raia wake?
View attachment 1653443
hahahahh wamekupiga na wewe!!😂😂😂Nimemsikia DPP akisema walio ibiwa fedha na kampuni ya QNET hawastahili kurejeshewa fedha zao pamoja na kampuni hiyo kushtakiwa kwa kuibia wananchi.
Chama cha CCM kinasema chenyewe ni cha kutetea wanyonge, jee katika hili kinakauli gani kwani kumbukumbu zinaonyesha viongozi wa Serikali ndio walio zindua shughuli za kampuni na kuhakikishia wananchi kuwa fedha zao ziko salama, iweje Leo wanawakana? Jee Serikali ya CCM inaendeshwa kwa ULAGHAI kwa raia wake?
View attachment 1653443
Unacheza na ccm wewehahahahh wamekupiga na wewe!!😂😂😂