Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Hii ni kama DEC, Serikali huwa inafanya mipango ya kupata hela inacheza na akili za wananchi
 
Mkuu, ukitaka kuishi kwa amani, jaribu kutokutumia akili kubwa kujadili mambo ya Serikali na maigizo yake
 
Either Jamii Forums ina watu wengi wasiotumia akili au Kuna tatizo mahali. Hivi nikianzisha kampuni hewa au mradi wa kitapeli lakini ikawa huko nyuma nilisoma na mtu ambaye kwasasa ni Waziri au kiongozi serikalini, kwenye uzinduzi wa kampuni yangu feki nikamualika huyo rafiki au msela wangu awe mgeni rasmi lakini yeye Kama yeye. Na yeye bila kujua au vyovyote akahudhuria na suti kubwa na mapicha kibao. Ikija kugundulika baadae kampuni ni ya kitapeli serikali inahusikaje!???... Kuna mtu aliwahi kuifungulia kesi Qnet!?. Kwamba katapeliwa na serikali ilizindua!??.... HAPANA. Matapeli wengi huwatumia watu maarufu au viongozi wakubwa kuwaaminisha watu kuwa wapo salama. Hata Moshi kwa Sabaya walimu walihamasika baada ya kuona yule kiongozi wa serikalini yupo Qnet na ndo anayewashawishi. Kama umewahi kumtembelea tapeli yeyote anayeaminika hata bongo huwezi kukosa picha ukutani aliyopiga na Mkapa, Kikwete hata Kenyatta. Kuna mzee mmoja tapeli wa kimataifa anaishi Kijitonyama niliwahi kuingia kwake nikakuta kapiga picha na Clinton na ni miaka ya 2001, technology ilikuwa haijakuwa kivile na isingeweza kuwa Photoshop. Nilimuogopa sana, na wengi walilia sana.Mkubali mkatae Watanzania wengi ni WAPUMBAVU na wabishi. Wakishapigwa wanarudi kuilalamikia serikali. Hivi unauziwa saa dola 2000($2000) na unakubali!??.. kisa kazindua Kigwangala!??.. ni akili au matope?!?.. na unaambiwa ili ela yako irudi mpaka utafute MAFALA wengine nao wanunue saa $2000 ndo uanze kupata $200 kwa aliyejiunga, ela yako itarudi lini kwa uchumi wa mtanzania??!, Na mnaomsapoti mleta mada wote ni WAPUMBAVU vilevile.
 
Mkuu, ukitaka kuishi kwa amani, jaribu kutokutumia akili kubwa kujadili mambo ya Serikali na maigizo yake
Kuna hizi mashine za kamali za wachina zilizozagaa nchi nzima.Kwa hilo serikali ipo usingizini kabisa.Hayo makolokolo ni marufuku kwao China na nchi nyingi,iweje yasambazwe nchi nzima kuwapumbaza nguvu kazi na kuwaibia kipato chao.Hata kama yangeruhusiwa ni sehemu maalum kama casino tu.
Kama haitoshi wakati fulani Morogoro walikamata pesa za sarafu zikitaka kusafirishwa kwenda China.
 
Zainuddin Adamjee, Kiongozi wa Budha hapa nchini, na Mbunge wa zamani wa Kawe, aliwahi kumuomba Rais Magufuli afunge hizi takataka za kamali kipindi kile Rais anazungumza na Viongozi wa kidini

Serikali ilimpuuza
 
Achana na suala waziri kuwepo siku ya uzinduzi, vipi kuhusu leseni walio kuwa nayo na kuweza kuoperate miaka yote hiyo? Serikali imeplay more than 50% kwenye hilo kosa kama lipo
 
Zainuddin Adamjee, Kiongozi wa Budha hapa nchini, na Mbunge wa zamani wa Kawe, aliwahi kumuomba Rais Magufuli afunge hizi takataka za kamali kipindi kile Rais anazungumza na Viongozi wa kidini

Serikali ilimpuuza
Kumbe kuna mkono wa serikali kuruhusu haramu hizi zizagae na kulitumbukiza nchi kwenye majanga.Inasikitisha sana.
 
Achana na suala waziri kuwepo siku ya uzinduzi, vipi kuhusu leseni walio kuwa nayo na kuweza kuoperate miaka yote hiyo? Serikali imeplay more than 50% kwenye hilo kosa kama lipo
Wana leseni ya kuuza bidhaa kama yalivyo maduka madogo au makubwa Ila matokeo yake watu ndo wanageuzwa bidhaa. Ndio maana ofisi zao hazinaga bango lolote mpaka uunganishwe na GOODMORNING mwenzao.Na hawatambuliwi na BRELLA. Na kwanini unakimbilia kulaumu serikali badala watu kwa ujinga wao!??.. Unaijua story ya Mr.Kuku?, Kuna mpaka Askari polisi video ipo YouTube aliyekuwa anatoa ushuhuda alivyopiga pesa na yawezekana ikawa kweli alizipata Ila hilo haliondoi ufeki wa huyu Mr.Kuku. Mwishoni kuna watu wangeumia au waliumia.
 
DPP anawasagia Kunguni kwa kuweka Biashara ya Mtandao kwenye Upatu kwa mjibu wa Penal code act 16 Section 171 na 172 binafsi sioni hata vinapolandana, DPP ajibu upya au Wadhulimiwa warudishiwe pesa zao
 
Achana na suala waziri kuwepo siku ya uzinduzi, vipi kuhusu leseni walio kuwa nayo na kuweza kuoperate miaka yote hiyo? Serikali imeplay more than 50% kwenye hilo kosa kama lipo
Nadhani usingemjibu huyo Jerusalem, ameonyesha kiwango kilichotukuka cha ujinga.
Yeye anadhani uhalali wa kampuni hiyo upo kwa sababu ya picha ya Kigwangwala katika ufunguzi?
Very low ability of thinking! Anashindwa kuelewa kuwa kampuni ina kusajiliwa, leseni za uwekezaji na za biashara na kila mwaka vyombo vya serikali kama TRA wako mlangoni?
Huyo ni mjinga adhaniye ana akili.
 
Insane. Sheer impunity.

CCM = Hutu brutality

By the way.... what did it take to down the Hutu heartless regime in Rwanda, if ever you even bother to remember?

It was HUGE... very very HUGE!!

Something HUGE must happen in Tanzania as well in order to down CCM heartlessness.... it's a question of when rather than if.

People are getting tired by the day.
 
Wewe ndio hutumii akili kwa mawazo yako haya, ukiwa kiongozi wa serikali kuna mipaka unakuwa nayo, kwa Kingwa kushiriki ufunguzi huku akiwa waziri serikalini inatoa uhalali wa serikali kuhusika kualalisha hii kampuni, pia kibali cha kufanya kazi nchini walipewa na nani? Juzi nilimsikia bosi mmoja Brela akimwambia DC Sabaya kwamba hii kampuni haijasajiliwa Brela, serikali ya kipumbavu kabisa.
 
Ile si imesajiliwa kama network marketing? Na Kwa maana hiyo ina link watu mbalimbali ili iweze kukua Na kuwafikia watu kwa mapana. Ipo mifano ya biashara zilizo halalishwa zinazo tumia watu ili kuwafikia watu zaidi.
Sasa serikali miaka sita plus inakusanya kodi bila kufatilia mlipaji wake anaendesha biashara kwa njia zipi mpaka leo ndo wanakuja kutuambia kwamba mlipa kodi wao ni tapeli??? Hilo kwako lina make sense ndugu??
 
Exactly! Kama kampuni sio halali basi serikali ndio kitu cha kwanza kulaumiwa kwa sababu miaka sita unachukua mamilioni ya kodi na watu wanafanya matangazo wanaendesha semina na wana account za pesa zinafanya miamala ya mamilion everyday!
Haimake sense hata kidogo
 
Mmmmh!Kwahiyo leo Mpesa wakitapeli wananchi na kuingia mitini na fedha zao basi ndio imetoka kwa wananchi?Serikali itataifisha hizo pesa na biashara inakuwa imekwisha!
Kuna bank fulani ilitaifiswa sidhani kama watu wake walipata mounga wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…