Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

[emoji4][emoji4]soon utatembea una ongea peke yako
 
Kuna hili kampuni ambayo naona kama inacheza UPATU. Kuna jamaa yangu aliingia kwa 2,000,000. Sasa ni zaidi ya mwaka hajapata chochote.

Sasa wana wadanganya vijana kuwa kuna ajira bila ufafanuzi wakifika mjini wanawaambia watambue wazazi wao watume fedha ili walipie bidhaa walizochagua hili waweze kuongeza credit na kupata hela na wamepanga nyumba Msakuzi kwa Majeshi Makali Mawe.

Kila anayefika anatakiw atoe sh 50,000. Wanalala kama Selo chakula wanafanya donation. Kwa ufupi ni hivyo kama kuna mwenye uelewa juu ya hilo anipe ufafanuzi maana naona ni utapeli mtupu.
 
Thread za qnet zimejaa humu mbona nyingi search usome
 
Nafikiri kuwakusanya watu kwa mtindo ulioelezea ni kosa kisheria.

Mfikishie mtendaji kata hilo swala.

Kuhusu uhalali. Qnet wanafanya network marketing kwangu mimi that is a fancy way of saying pyramid scheme.

So ni hivyo
 
Sasa si waondoke warudi makwao?
 
Asante kwa uzi. Uzi bora kabisa mkuu. Binafsi nilishawishiwa na rafiki zangu wawili kwa nyakati tofauti tofauti sema niliwachomolea.

Aisee, jamaa walinitait ofisin kwao siyo mchezo.
 
umesikika vyema mkuu
 
Hivi nani anafahamu kuhusu hii kampuni ya Rythm Foundation?
 
Mambo ya kudownload pesa hayo [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…