Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Kimbia kama ukoma. Kaka yako anataka kukuingiza chaka, huo ni utapeli kama utapeli mwingine.

Muulize hizo bidhaa za milioni 4 ni bidhaa gani, unaziuzaje? Je faida yako ni kufanya biashara au kuleta watu wajiunge, yaani core business ni nini ili upate faida, biashara au kushawishi watu wajiunge?

Je usipopata wa kujiunga faida unaipataje? Kampuni inauza bidhaa gani?

Kwa nini hadi ulete watu wengine wajiunge?

Q net ni utapeli kama utapeli mwingine. Usidanganyike mdogo wangu.
 
Bidhaa unachagua na ziko mbalimbali kama vile saa, water filter, safari package na education
 
Saa saba mchana unaambiwa good morning na wewe unajibu moon... Uwo ni utahira kiwango cha lami....
 
Saa saba mchana unaambiwa good morning na wewe unajibu moon... Uwo ni utahira kiwango cha lami....
Exactly kaka, unawaelewa ni hvyo hvyo nilishindwa kuwauliza hilo swali kwann salaam ni goodmorning hata mchana, naomba hints kdogo brother kama unawaelewa
 
Exactly kaka, unawaelewa ni hvyo hvyo nilishindwa kuwauliza hilo swali kwann salaam ni goodmorning hata mchana, naomba hints kdogo brother kama unawaelewa
Wanadai hiyo ni biashara ya Kimataifa hvyo muda unatofautiana sehemu na sehemu huku kukiwa mchana sehemu nyingine duniani ambako pia kuna watu wanafanya nao biashara hii kwao ni asubuhi hvyo imewalazimu kutumia salamu ya muda mmoja
 
This is what thrilled my realization that brandishing
before a conflux of personage to give a peroration
coda,needs a stupefacient effort. Consequently, those who have a dexterity to do it,must be given a
sanctioned acknowledgementora because it isn't a
mere devoir
 
Dah..hii kama Qnet nyingine hii..
 
Mkuu kimbia na usigeuke nyuma,ukigeuka tu unakuwa jiwe la chumvi..
 
Hizi ndio nini?bombastiki tulivyokuwa tukiita zamani au !!!
 
Bidhaa unachagua na ziko mbalimbali kama vile saa, water filter, safari package na education
Saa milioni 4?

Je faida anakua anapata kuuza saa kisha zikiisha anafuata nyingine anauza au kwa kuunganisha watu?

Faida yake inapatikanaje, core business inayoleta faida ni nimi, kuuza bidhaa au kuunganisha watu? Faida kubwa iko wapi, kuunganisha watu au kuuza bidhaa?

Hiyo saa ya milioni 4 unauza kama machinga kwa khitembeza au unatakiwa uwe na maduka au duka la vitu vya thamani na bei ghari?

Hiyo saa moja ya milioni 4 ni ya madini gani? Nani anathibitisha kiwango cha hayo madini kwenye hiyo saa, ni ya kampuni gani?
 
Umetumia majibu makubwa kuieleza akili ndogo
 
Umeweza kutafuta milioni 40 halafu Bado huziamini mbinu zilizokupa milioni 40

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oriflame products sina hamu
Mkuu embu elezea hii oriflame maana kuna dada wa jamaa angu yupo kwenye hii biashara na pia mke wangu ni marafiki wakubwa na huyu dada.Naona kaanza kumrushia mambo ya Oriflame wife.Nipe A B C za Oriflame ili nimstue mapema wife asije angukia huko kisirisiri japokuwa Sasa hivi kawa mjanja maana DECI ilimfunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Network marketing nyingi hasa hizi zinazojinasibu kufanya digital currency ni utapeli uliotukuka. Ninafahamu kadhaa ambazo watu wamepigwa ila cha ajabu sasa, bado wanasubiri, hoping zitarudi.

D9, Bitclub Advantage, AGAM, Magellan, Millionaire club to mention just a few. Kinachofanyika wale wa mwanzo huwa wanakula kidogo ili wakahubiri habari njema kwa wengine. Mkishajaa na kuwa nyomi ndipo matapeli wale hufyatua mtego wao. Hata hizo QNET ni wizi tu

Never be fooled. Kama hela zinakuwasha sana na hujui cha kuzifanyia, bora ukafuge kuku au mbuzi unaweza kuwala supu kama hawauziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…