Mambo ambayo ni uongo lakini yanajulikana ni kweli kwa wengi

Hata hiyo dhana ya kika kiumbe kimepangiwa maisha yake ni UONGO. hakuna kitu icho, UKWELI ni kwamba kila kiumbe kitaishi maisha ambayo atayaandaa na kuyapigani kuishi kulingana na juhudi na utashi wake
 
Una akili fupi sana,kwani akisema yeye ndio ukweli mtupu mpaka kumpa mamlaka hayo ?
 
Mungu yupo mahali amejificha story za kitoto zaid
 
Movie zina waharibu vijana, wazee wenu wamejinyima wakawasomesha leo mnawaita wavivu
Ndo maana nikamuambia yeye ni mtoto hajui maisha huwez kuwa na utimamu wa akili ukasupport baadhi ya mleta uzi alichoandika, mzazi unamtawaza mtoto unampigania tokea mdogo hapo hajui chochote, unajinyima ili asome vizuri, Leo mtoto amekua unawaita wazazi wako wavivu jamaa simjui Ila kwa uzi huu nimemdarau
 
Kwa waislamu hakuna zaka anayopewa sheikh kwa ajili ya huduma, tafadhali usiseme kitu usichokijua.

Zaka ni sehemu ya mali yako unayotoa kama shukrani kwa Mungu wako na inatumika kwa ajili ya kuwasaidia wale masikini wasiojiweza.
Kwa hoja yako masikini wasingekuwepo duniani.

By the way kwani huyo Sheikh wako hataki maisha mazuri??
 
Kwa hoja yako masikini wasingekuwepo duniani.

By the way kwani huyo Sheikh wako hataki maisha mazuri??
Kwani wangapi huwa wanatoa hiyo zaka kama inavyotakiwa? Anzia hapo.

Kwa waislamu zaka inatakiwa iwe asilimia 2.5 kwa mwaka na unatoa zaka ya fedha , mazao mpaka mifugo lakini wangapi wanatoa hiyo zaka?
 
No comment ila kuna vitu umeongea bwana ni vya kwel hapo.Tukiweka mahaba ya dini pembeni.
 
Una akili fupi sana,kwani akisema yeye ndio ukweli mtupu mpaka kumpa mamlaka hayo ?
Nashukuru Mkuu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Hakuna neno lisilotoka kinywani mwa kiumbe aitwaye Mwanadamu na lenye kuntu maana likaachwa kuwa appreciated na watu wenye upeo waerevu 10:2
 
Ni jukumu la mzazi kujiandalia maisha yake ya uzeeni.
Robert Heriel yupo sahihi.
Nasi Vijana twatakiwa tuanze maandalizi ya uzee wetu bila kutegemea kizazi kijacho.

Usichokielewa kipi?
 
Sawa ,mimi nimesema hivyo kutokana kuna baadhi ya watu wana tabia ya kuwaIdolize watu fulani kuwa neno lao ndio sheria, hawakosei na wanaakili sana kuliko wengine.Mimi pigo hizo nimeshaacha kitambo sana.

Unakuta sometimes mshana ,Taikon nk wakiaandika vitu against matakwa yao ,wanavyoamini na kujua wao wanakuwa verry disappointed na kuanza kutoa maneno kama "nilikuwa nakuona genius sana" "sikujua kama mweupe kiasi hiki" nk kwa vile wameshajenga dhana vichwani mwao kuwa watu fulani ndio uono wao wa sawa zaidi.
 
Namba 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…