Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Naanza kuzurura hovyo nikikutana na demu nakula tunda kimasihara.
Si unajua tena mgaa gaa na upwa hali wali mkavu.
 
Najifungia ndani natulia
Nakuwa kimya sana nakosa Raha Huwa nakuwaga na deep thinking balaa had nipate jibu why tumefikia hapo ndio natulia natafuta solution maisha yanaendelea
Hiyo ya kujifungia ndani huku ukisindikizia Master SM au kamsokoto fulani ka kizushi ukasongo sana asee.
 
Hapo ukitoa Afro Beat hiyo mingine yote napiga, siku ntapandisha baadhi ya projects za EDM nilizofanya. Napenda sana huo mziki.
Mwanangu Forest Hill ana piga beat pia, siku niki kaa vyema nita safiri kutafuta artist waku zirekodi.

then nazi weka kwenye listening platforms, maana Kuna ma underground huko Wana jua Sana.
 
Utalia vibaya wewe
 
Sie wazee wa tungi hatuna hizo mambo za msongo wa mawazo au kukerana na mtu.
 
Naamini bado sijawahi kupata msongo wa mawazo, ile kitu ni level nyingine maana nimewahi kuona watu wanaopitia depression.

Nikiwa na stress sana.
1. Napenda sana kuongea na bimkubwa, nitampigia simu zaidi ya kawaida na tutaongea mengi(sio issue iliyonipa stress)
2. Frequency ya kula inaongezeka.
3. Nawekana zaidi ya kawaida, kama ni wife kanipa stress hapo lazima alternative itafutwe(najaribu kuikimbia zinaa this yr)
4. Naweza niende sana church au nisiende kabisa nikakata mawasiliano kwa mda, inategemea nini hasa kimesababisha hizo stress.
5. Nasikiliza sana gospel music.
 

Huwa ninachukua Biblia na kuanza kusoma kitabu cha MHUBIRI.

"ubatili mtupu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…