Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Pole sana
 
Naaungishia yote kwenye kiuno, nikitoka hapo chakachaka yani nakoroma tu!
 
Polee Eyce
Ulifanyaje hiyo hali ikaisha?
Nakumbuka tu hisia zilikufa na niliacha kazi kwa sababu ilikuwa ni moja ya stress kubwa na hainilipi.

Niliongea na watu wangu wa karibu so, ilipungua lakini trauma yake haijawahi kuisha kwa sababu bado nilikuwa nakutana na mengi ambayo hayakuniruhusu kuwa weak.
 
Naendelea na ratiba yangu ya siku hiyo
 
Kwahiyo kumbe hufanyagi usafi mpaka mtu akukere..??
ila member wa mnajua kunifurahisha...🤣
 
Nasikiliza qur,an tu nikikereka
 
Mm uwa napika makande kwenye kuni ile process ya kuchochea kuni unajikuta masaa yamekata. Hasa ikitokea mvua unawez kumaliz wiki
 
Bangi+Kitimoto 1kg+castle Lager 3 Bariidi,,Then Nausingizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…