Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Thubutuuuu!!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ndo nishakuchagua ukaniwakilishe haina kukataa ni kutii amri na ninja nishakununulia..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Sina marafiki wengi kwasababu i am tough! Sipendi umbea, uongo na uzushi! Niko na rafiki mmoja wa Advance, wengine tunasalimiana tu maisha yanakwenda! Na sitarajii kuwa na marafiki
 
Nilikua na best friend job enzi fulani,kumbe alikua bize sana kwenye simu na boss,vitu vingi tunavyoganya na kujadili boss akawa ananiuliza kimtego yale yale tulioongea.
Nilipokuja fahamu nilihama mpk eneo la kazi kwakua mazingira yalikua magumu hata nikiomba likizo ilikua ngumu kupewa,nikabadili mpk laini Ili asinitafute tena kwakifupi I trust no one kwa sasa
 
Na unanyoa kiduku kama husna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ